gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,670
- 2,165
mpaka sasa hatuna waziri wa nishati na madini
Tume ya mwakyembe ilimtuhumu moja kwa moja ikapendekeza ajitathmini kwa kujiuzulu au bunge limhoji tayari mwakyembe alikuwa na mashahidi 41 nje ya bunge wakati anatoa mapendekezo hayo hii ikimaanisha kama lowassa angechagua kuhojiwa maana yake angejitetea Naye alikuwa amejiandaa. Lkn lowassa alivyoona kuhojiwa ni kujichimbia kaburi refu zaidi akakimbia kwa kujiuzulu huku akiomba huruma ya wananchi.Wakina Mwakyembe katika ripoti yao kwenye Bunge hawakumtuhumu moja kwa moja EL bali walisema kutokana na mambo yalivyoenda wanamwachia Waziri Mkuu ajifikirie katika suala zima. EL aljua kwamba Mwakyembe na timu yake waliona mengi na ili kuepuka aibu akajifikiria na kesho yake akabwaga manyanga! Jitihada za kumsafisha EL upya ndio sasa zinaibua ushaidi mpya dhidi yake. Tutasikia mengi. Stay tuned.
fikiri zaidi ya hapo.Ina maana walikuwa na lao pamoja.Na ndiyo maana JK hakuwahi kukanusha wala kumruka! Sana sana alisema "ajali kazini"Raisi akikushauri jambo baya kwa jamii yako.
Mwambie jambo hili ni baya na umshauri aliache.
Ukikubali kufanya jambo baya, eti kwa kisingizio cha kuafikiwa na Raisi, basi ujue wewe ndio mbaya.
Mtu mbaya hukubali kufanya jambo baya.
Kusema eti raisi alikuwa anatambua ubaya unaofanyika hakukusafishi ubaya uliotenda.
Je Raisi akikuambia nenda kamchije mwanao, utakubali kufanya hicho kitendo kwa mwanao?
Kutetea ufisadi ni kuwa fisadi, haijalishi nani amefanya.
Tume ya umbea tupu.Kwa makonda alidai hakuhojiwa juu ya uvamizi,hivyo haiaminiki.Ya kwake haikuhangaika hata kumjulisha lakini anataka "iaminike"Undumila kuwili! jamaa ana historia ndefu ya double standard.Tume ya mwakyembe ilimtuhumu moja kwa moja ikapendekeza ajitathmini kwa kujiuzulu au bunge limhoji tayari mwakyembe alikuwa na mashahidi 41 nje ya bunge wakati anatoa mapendekezo hayo hii ikimaanisha kama lowassa angechagua kuhojiwa maana yake angejitetea Naye alikuwa amejiandaa. Lkn lowassa alivyoona kuhojiwa ni kujichimbia kaburi refu zaidi akakimbia kwa kujiuzulu huku akiomba huruma ya wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya lowassa na makonda ni kwamba lowassa alipewa platform ya kujitetea hata kama hakuhojiwa kwenye ile platform ndipo alipotakiwa kueleza ambayo anadhani angeyasema kwenye mahojiano husika yaani angejitetea na upande wa kamati nao walikuwa na mashahidi wao standby lkn badala yake akakimbia unlike makonda hakupewa platform kama hiyo.Tume ya umbea tupu.Kwa makonda alidai hakuhojiwa juu ya uvamizi,hivyo haiaminiki.Ya kwake haikuhangaika hata kumjulisha lakini anataka "iaminike"Undumila kuwili! jamaa ana historia ndefu ya double standard.
Unaweza kueleza maana ya "tungeeleza kila kitu serikali ingeanguka," alikuwa ana maanisha serikali ni Lowassa?Tofauti ya lowassa na makonda ni kwamba lowassa alipewa platform ya kujitetea hata kama hakuhojiwa kwenye ile platform ndipo alipotakiwa kueleza ambayo anadhani angeyasema kwenye mahojiano husika yaani angejitetea na upande wa kamati nao walikuwa na mashahidi wao standby lkn badala yake akakimbia unlike makonda hakupewa platform kama hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mere excuse tu.Unaweza kueleza maana ya "tungeeleza kila kitu serikali ingeanguka," alikuwa ana maanisha serikali ni Lowassa?
excuse hiyo alitoa nani na kwa manufaa ya nani?
Sasa hapo nani mzuri na nani mbaya ?fikiri zaidi ya hapo.Ina maana walikuwa na lao pamoja.Na ndiyo maana JK hakuwahi kukanusha wala kumruka! Sana sana alisema "ajali kazini"