Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,957
- 22,156
Unajua nchi inaweza ikawa inateseka kumbe kuna mtu mmoja tu anatakiwa kuwepo mungu ashushe neema yake
ingawa ni vigumu kupata majibu ndugu zanguni embu niulize mliokimbilia huko samahani sisemei waliochan passport kkabisa najua nyie raha ya milele mmeshapewa na mwanaga wa uzima mpumzikie huko huko kwa amani
kwa mliobaki na passport jamani mna mpango gani wa kurudi tanzania...msiogope huu mgomo wa ma dk ni wa muda tu kuisimamisha serikali ijue wajibu wake..najua mnawezaogopa mkiona maitikwenye website hayo ni matokeo ya siasa bora kwa kila mtanzania
tunaitaji nguvu zenu jamani tunaitaji mawazo yenu si hivyoo tuu pengine muda mliokaa huko mnaweza kututafutia wafadhili wa kurekebisha hizi bara bara zetu mkija huku...wapendwa tunawapenda tunawaitaji ..najua mna viamba mmenunua na wengine wameshapeelekewa picha za nyumba zetu kwenye email kuonyesha nyumba zao zinaisha ..na mwisho akikanyaga anaishia kuhangaika na wakina msechu nk
msiogope ndugu zanguni najua mkija mtakuwa na mawazo tofauti huku watu wamekuwa wagumu kusikia wagumu kutenda maji ya kuwasha yanawasambaratisha kabisa kila mmoja anarudi alipotokeea na hivyo serikali kuendlea kuwa kichwa cha mwendawazimu
swali langu nauliza jamani mnarudi lini??