Hivi mliokimbilia nje mnarudi lini wapendwa wangu??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Unajua nchi inaweza ikawa inateseka kumbe kuna mtu mmoja tu anatakiwa kuwepo mungu ashushe neema yake
ingawa ni vigumu kupata majibu ndugu zanguni embu niulize mliokimbilia huko samahani sisemei waliochan passport kkabisa najua nyie raha ya milele mmeshapewa na mwanaga wa uzima mpumzikie huko huko kwa amani

kwa mliobaki na passport jamani mna mpango gani wa kurudi tanzania...msiogope huu mgomo wa ma dk ni wa muda tu kuisimamisha serikali ijue wajibu wake..najua mnawezaogopa mkiona maitikwenye website hayo ni matokeo ya siasa bora kwa kila mtanzania

tunaitaji nguvu zenu jamani tunaitaji mawazo yenu si hivyoo tuu pengine muda mliokaa huko mnaweza kututafutia wafadhili wa kurekebisha hizi bara bara zetu mkija huku...wapendwa tunawapenda tunawaitaji ..najua mna viamba mmenunua na wengine wameshapeelekewa picha za nyumba zetu kwenye email kuonyesha nyumba zao zinaisha ..na mwisho akikanyaga anaishia kuhangaika na wakina msechu nk

msiogope ndugu zanguni najua mkija mtakuwa na mawazo tofauti huku watu wamekuwa wagumu kusikia wagumu kutenda maji ya kuwasha yanawasambaratisha kabisa kila mmoja anarudi alipotokeea na hivyo serikali kuendlea kuwa kichwa cha mwendawazimu

swali langu nauliza jamani mnarudi lini??
 
Wanaona aibu! Kuna jamaa yangu sasa ni mwaka wa 8 tokea aondoke hapa TZ kwa gear za Summer Camp, huwa tunachat kwenye Skype nikimuhadisia kila jamaa aliyemuacha hapa TZ ana nyumba/gari/kazi nzuri na wameoa akiwepo mimi jamaa kashaniambia mbona yeye tokea aondoke hela hazijai? na pia anauliza tumepataje hela? Aisee jamaa kashakata tamaa ya kuja kwakua anaona aibu ile mbaya!
 
Hata kama tunaona aibu ndo mtuseme hivyo?? Mbona kuna watu hapo Dar wana miaka 10 hawajakanyaga vijijini kwao kwa kuona aibu hiyo hiyo!!!!!!!!!!! Hiyo imekaaje??? Vipi walioko Mwanza au Arusha ambao hawajawahi kukanyaga vijijini kwao??? Jamani tuvumiliane tu na kutiana moyo kila mtu ana malengo yake, katika kukabiliana na hizi changamoto za maisha
 
Diddy,
Nyumbani poa sana! hasa ukiwa na fedha. Ila mamtoni nako kuna raha zake, sirudi moja kwa moja.
 
huku njaaa ninaitafuta, ila huko njaa inanitafuta! nipo Tel Aviv mwaka wa kumi na tano!
 
Lol! You made my day!
Ngoja Bishanga aje kwanza ndo ntasema.
Hata kama tunaona aibu ndo mtuseme hivyo?? Mbona kuna watu hapo Dar wana miaka 10 hawajakanyaga vijijini kwao kwa kuona aibu hiyo hiyo!!!!!!!!!!! Hiyo imekaaje??? Vipi walioko Mwanza au Arusha ambao hawajawahi kukanyaga vijijini kwao??? Jamani tuvumiliane tu na kutiana moyo kila mtu ana malengo yake, katika kukabiliana na hizi changamoto za maisha
 
wanaona aibu! Kuna jamaa yangu sasa ni mwaka wa 8 tokea aondoke hapa tz kwa gear za summer camp, huwa tunachat kwenye skype nikimuhadisia kila jamaa aliyemuacha hapa tz ana nyumba/gari/kazi nzuri na wameoa akiwepo mimi jamaa kashaniambia mbona yeye tokea aondoke hela hazijai? Na pia anauliza tumepataje hela? Aisee jamaa kashakata tamaa ya kuja kwakua anaona aibu ile mbaya!

mkuu kama walibahatika kusoma basi tunao nguvu ya kuwahamasisha warudi mpwa unajua wale ni wenzetu najua wengi wanaumia sababu walikimbia wakiwa wamefaulu wengine kuingia vyuoni ila kwa mgongano wa sasa wa kufaulu hata wakirudi wanajua awaiingiii vyuoni ...nahuzunika sana na hili ninae rafiki yangu aliondoka mwaka 2000 niko mwaka wa pili coet yeye anaingia wa kwanza kasoam miezi sita akasema shule ya matatizo siwezi nikamcheze dira ahamie juu ungwini aanze mwaka wa kwanza wapi...amerudi december 20 na begi tatu jana ananipigia hivi cbe wanafundisha nini na nini
nilichoka..so bado tusiwakatishe taamaa
 
Nje kutamu bwana, kama hujui muulize rais wako kwa nini hatulii nyumbani?

Lipumba yuko zake Malaysia anaosha vyombo anajikusanyia dolali zake akirudi bongo atese.
 
Hahahaa mkuu umejibu kwa hisia sana.
Hata kama tunaona aibu ndo mtuseme hivyo?? Mbona kuna watu hapo Dar wana miaka 10 hawajakanyaga vijijini kwao kwa kuona aibu hiyo hiyo!!!!!!!!!!! Hiyo imekaaje??? Vipi walioko Mwanza au Arusha ambao hawajawahi kukanyaga vijijini kwao??? Jamani tuvumiliane tu na kutiana moyo kila mtu ana malengo yake, katika kukabiliana na hizi changamoto za maisha
 
njooni mpate vyakula fresh, siasa safi na kila kitu huku kinawezekeana ukipata wasaa wa kufanya kazi serikalini ukiiba hufungwi sanasana utaombwa urudishe
 
Wanaona aibu! Kuna jamaa yangu sasa ni mwaka wa 8 tokea aondoke hapa TZ kwa gear za Summer Camp, huwa tunachat kwenye Skype nikimuhadisia kila jamaa aliyemuacha hapa TZ ana nyumba/gari/kazi nzuri na wameoa akiwepo mimi jamaa kashaniambia mbona yeye tokea aondoke hela hazijai? na pia anauliza tumepataje hela? Aisee jamaa kashakata tamaa ya kuja kwakua anaona aibu ile mbaya!

Tanzania kila mtu ni mwizi, mmeona ujanja kuwa wezi na kujisifia mnapesa, huku tunakwenda na system za maisha. Sasa huko Bongo ukiwa unafanyakazi ujanja ni kuiba ndio upate sifa na usifiwe kuwa una hizo pesa mnazojisifia, ufisadi kila sehemu na mafanikio ya kuendelea nchi ni ndoto. Jirekebisheni kwanza tabia zenu za wizi na mlionee huruma taifa. Hata wewe Pdidy hapo kwenye huo uwanja wenu wa ndge unaonuka mimavi pia mnaibia abiria. Sirudi mpaka mjirekebeshe hizo tabia zenu chafu za wizi.
 
Hata kama tunaona aibu ndo mtuseme hivyo?? Mbona kuna watu hapo Dar wana miaka 10 hawajakanyaga vijijini kwao kwa kuona aibu hiyo hiyo!!!!!!!!!!! Hiyo imekaaje??? Vipi walioko Mwanza au Arusha ambao hawajawahi kukanyaga vijijini kwao??? Jamani tuvumiliane tu na kutiana moyo kila mtu ana malengo yake, katika kukabiliana na hizi changamoto za maisha

Mkuu wasikubabaishe hao nchi nzima ni Majambazi ukiwauliza hizo pesa wamezipateje wanashindwa kukujibu wanabakia kusema hapa mjini kila mtu anakula kwa urefu wake wa kamba. Watanzania punguzeni wizi nchi ipate maendeleo
 
tanzania kila mtu ni mwizi, mmeona ujanja kuwa wezi na kujisifia mnapesa, huku tunakwenda na system za maisha. Sasa huko bongo ukiwa unafanyakazi ujanja ni kuiba ndio upate sifa na usifiwe kuwa una hizo pesa mnazojisifia, ufisadi kila sehemu na mafanikio ya kuendelea nchi ni ndoto. Jirekebisheni kwanza tabia zenu za wizi na mlionee huruma taifa. Hata wewe pdidy hapo kwenye huo uwanja wenu wa ndge unaonuka mimavi pia mnaibia abiria. Sirudi mpaka mjirekebeshe hizo tabia zenu chafu za wizi.

ukinijibu hili ntaacha
baba yetu alipata wapi hela za tkt kukupeleka huko Kwa mshahara wa 400,000/=kipindi hicho hata mikopo serikalini aipo,ngo azijaanza kama leo hii,ningejua umeingizwa kwenye group la wanaoumwa ukatibiwe marekani,,nk jiulize mara mbili mbili baba yako zile pesa za ku survive wiki kadhaa alizitoa wapi??then anipe na akili ya kuacha hako kamchezo
 
Tanzania kila mtu ni mwizi, mmeona ujanja kuwa wezi na kujisifia mnapesa, huku tunakwenda na system za maisha. Sasa huko Bongo ukiwa unafanyakazi ujanja ni kuiba ndio upate sifa na usifiwe kuwa una hizo pesa mnazojisifia, ufisadi kila sehemu na mafanikio ya kuendelea nchi ni ndoto. Jirekebisheni kwanza tabia zenu za wizi na mlionee huruma taifa. Hata wewe Pdidy hapo kwenye huo uwanja wenu wa ndge unaonuka mimavi pia mnaibia abiria. Sirudi mpaka mjirekebeshe hizo tabia zenu chafu za wizi.

Sirudi mpaka mjirekebeshe hizo tabia zenu chafu za wizi

HATA TUKIACHA WIZI UKIRUDI NAAMINI AURUDI TENA HUKO NDICHO CHANZO CHA KUTORUDI NCHINI UNAFIKIRI WANAPENDA KUSIKIA MAMA ZAO BABA ZAO WAMEFARIKI WANAOMBA WATUMIWE PICHA SI RAHIISI MASHARTI NA VIGEZO VIMEZINGATIWA NDIO VINAFANYA WATOTO WETU KUTUACHA TUNAKUFA BILA WAO KUWEPO
 
ukinijibu hili ntaacha
baba yetu alipata wapi hela za tkt kukupeleka huko Kwa mshahara wa 400,000/=kipindi hicho hata mikopo serikalini aipo,ngo azijaanza kama leo hii,ningejua umeingizwa kwenye group la wanaoumwa ukatibiwe marekani,,nk jiulize mara mbili mbili baba yako zile pesa za ku survive wiki kadhaa alizitoa wapi??then anipe na akili ya kuacha hako kamchezo

Mimi wala sipo mbali nipo Namibia, Nauli yake wala haifiki hizo pesa alizozitaja hata kwa basi unafika. Na maisha hapa ni mazuri kwangu. Kama alivyosema Jsaudi hapo chini

Code:
Tutarudi kusalimia kwa kuwa ni nyumbani, lakini [COLOR=#ff0000][B]kuishi Tz kabisa kwataka moyo[/B][/COLOR].

Unafikiri kwanini wakina Mzee Mwanakijiji hataki kurudi kijijini? jibu hilo hapo juu
 
Sasa mkuu namibia si kama tz tu..mi nilijua ngogo zote uko kwenye hewa safiiiiiii anyway....bado nakuitaji mpwa ukiacha yotee hizo tulizochangiana ni kutiana tu moyo mwisho wa siku tukutane dia hata kwa pp
wape hi wote mpwa wangu
 
Nani kakuambia Namibia ni sawana Tanzania? mkuu huku ni sawa na nchi za dunia ya kwanza. Na kukaribisha lakini ukija tafadhali nakuomba usizamie huku.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom