Hivi mliokimbilia nje mnarudi lini wapendwa wangu??

Teeeeheetteeehhhh nkuuulu umekula ganda lao utakiwenzio wale ""mana ""kama wewe haya bana sina lakusema
naamini utokuwa kama jamaa yangu mmoja alimlazimisha jamaa aende marekani akamsaidia kweli alipofika miezi mitatu tu akamwambia akajitegemeee jama is here arround anasota na vodacom..hua nashauri wakienda wasitegemee sana ndugu ndio maana wawe na malengo ya kwenda
 
we puff daddy vipi?maji yenyewe hayatutoshi,..watu kibao maji kidogo,foleni ndo usiseme(si unajua ukiexchange za kigeni unatungua used ya japan kwenye yard fasta)waache wabaki hukohuko..kwanza ajira hakuna...
 
Bila ya kusahau umeme na vijibarabara sio mabarabara, nchi inanuka vikwapa kwenda mbele na jua wengine mtakasikirika lakini msg send :lol:
 
we puff daddy vipi?maji yenyewe hayatutoshi,..watu kibao maji kidogo,foleni ndo usiseme(si unajua ukiexchange za kigeni unatungua used ya japan kwenye yard fasta)waache wabaki hukohuko..kwanza ajira hakuna...

aiseee umenichekesha sana sana kwa hiyo wakija tutabanana nao
 
Kuna jambo ambalo wengi wenu hamlifahamu. Wizara ya Utumishi ilipitisha waraka juu ya taasisi na mashirika ya serikali kwamba wanapotangaza nafasi za kazi wasiajiri watanzania walioko nje kwa kuwa hawa walikimbia nchi na na kuwapa kazi katika taasisis na mashirika ya serikali ni kuwakatisha tamaa watanzania waliobaki nchini kusaidia kujenga nchi yao. Dhana hapa ilikuwa kwamba tulioko nje mara nyingi tutazipata hizo kazi kutokana na international experience tuliyo nayo. Nadhani Dr. Mary Nagu ndiye aliyeanzisha waraka huu. Hivyo basi kurudi tunapenda tusaidiane kuijenga nchi yetu. Lakini tukirudi bila kazi itamsaidia nani? Tutaongeza tatizo jingine.

Hivyo viongozi kama JK kutuambia turudi nyumbani ni unafiki tu, kwa kuwa wanajua juu ya waraka huu wa serikali. Waambieni wabunge wenu waufutalie na kuuweka wazi.
 
Back
Top Bottom