mpiganaji86
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 110
- 13
benadi nae anatakiwa achapwe nao hana adabu hata kidogo,gadafi kama aliipenda nchi yake kwann akung'atuka mapema ? amepata alichohitaji
benadi nae anatakiwa achapwe nao hana adabu hata kidogo,gadafi kama aliipenda nchi yake kwann akung'atuka mapema ? amepata alichohitaji
Membe akilalamika ni sawa, kitendo alichofanyiwa Ghadhafi si cha haki afai kutendewa mwanaadamu yoyote hata mnyama, wale waliofanya vile wameudhihirishie ulimwengu ni watu makatili na washenzi na imethibitika kweli wale ni panya,paka na mende kwani mwanaadamu hawezi kuwa na tabia kama zao.
Wamelaaniwa hawa,tena wanachafua dini ya uislamu,ni vizuri waislamu wakalaani hili du,hujafa hujaumbika,Mungu awasamehe,
kuna wale waliomkamata mungu, wakamdhihaki, wakamtemea mate, kisha wakamuamba kwenye mti akiwa uchi! Kwa mateso hayo watu wake wanaamini mungu kawaokoa !Hii kitu mbaya sana, pia nashindwa kuelewa maana ya hili neno ALLAH AKBAR kwa sababu hawa waarabu ndio wanaifahamu vizuri hii dini ya islam? Yaani wanamla TIGO mzee wa miaka 70 mbele ya camera huku wakisema Allah Akbar neno ambalo tunalisikia msikitini? Tena jamaa anaweka uso mbele ya kamera ili umuone akitamka hilo neno na anarudia mara nyingi kadri awezavyo. Hii dhambi hakika itawarudia watu wa libya.
kuna wale waliomkamata mungu, wakamdhihaki, wakamtemea mate, kisha wakamuamba kwenye mti akiwa uchi! Kwa mateso hayo watu wake wanaamini mungu kawaokoa !
RIP shujaa Gadafi.
Walibya leo hii wanachekelea kumdhalilisha mwenzao aliyewajali, sawa hakuna binadamu aliyekamilika dunia hii lakini kitendo cha kumuua na kisha kumuweka nuchani kwa maonyesho ni ukiukwaji wa hali za kibinadamu na uislamu.
Malipo ni hapa hapa duniani.
Nakile wanachofanyiwa watoto na MAPADRI SUNDAY SCHOOL ndio ukristo wenyewe?Kwa taarifa yako, mabingwa wa Uislamu wa Tanzania, wamesomea Libya! Walichomfanyia Gaddafi, ndiyo Uislamu wenyewe. Ndiyo maana nchi zote za kiarabu, kwenye chimbuko la Uislamu; kote wanashangilia!
benadi nae anatakiwa achapwe nao hana adabu hata kidogo,gadafi kama aliipenda nchi yake kwann akung'atuka mapema ? amepata alichohitaji
Nakile wanachofanyiwa watoto na MAPADRI SUNDAY SCHOOL ndio ukristo wenyewe?