Hivi Membe anajua alichofanywa Gaddafi kabla ya risasi?

benadi nae anatakiwa achapwe nao hana adabu hata kidogo,gadafi kama aliipenda nchi yake kwann akung'atuka mapema ? amepata alichohitaji
 
Membe akilalamika ni sawa, kitendo alichofanyiwa Ghadhafi si cha haki afai kutendewa mwanaadamu yoyote hata mnyama, wale waliofanya vile wameudhihirishie ulimwengu ni watu makatili na washenzi na imethibitika kweli wale ni panya,paka na mende kwani mwanaadamu hawezi kuwa na tabia kama zao.
 
benadi nae anatakiwa achapwe nao hana adabu hata kidogo,gadafi kama aliipenda nchi yake kwann akung'atuka mapema ? amepata alichohitaji

Njia ya mateso watakayo ipitia wananchi wa Libya ktk kuitafuta demokrasia ya kweli chanzo na sababu atakua ni huyo jamaa Gaddafi. Lakini baada ya umwagaji damu nyingi, wananchi wa Libya wataweza kuishi kwa kuheshimiana na umoja.
 
Membe akilalamika ni sawa, kitendo alichofanyiwa Ghadhafi si cha haki afai kutendewa mwanaadamu yoyote hata mnyama, wale waliofanya vile wameudhihirishie ulimwengu ni watu makatili na washenzi na imethibitika kweli wale ni panya,paka na mende kwani mwanaadamu hawezi kuwa na tabia kama zao.

Wewe na Membe, hamumjui Gaddafi. Wanaomjua Gaddafi, ni Walibya wenyewe! Amevuna alichopanda. Huwezi kupanda mtama ukatarajia kuvuna mahindi!
 
Wamelaaniwa hawa,tena wanachafua dini ya uislamu,ni vizuri waislamu wakalaani hili du,hujafa hujaumbika,Mungu awasamehe,
 
Wamelaaniwa hawa,tena wanachafua dini ya uislamu,ni vizuri waislamu wakalaani hili du,hujafa hujaumbika,Mungu awasamehe,

Kwa taarifa yako, mabingwa wa Uislamu wa Tanzania, wamesomea Libya! Walichomfanyia Gaddafi, ndiyo Uislamu wenyewe. Ndiyo maana nchi zote za kiarabu, kwenye chimbuko la Uislamu; kote wanashangilia!
 
Hii kitu mbaya sana, pia nashindwa kuelewa maana ya hili neno ALLAH AKBAR kwa sababu hawa waarabu ndio wanaifahamu vizuri hii dini ya islam? Yaani wanamla TIGO mzee wa miaka 70 mbele ya camera huku wakisema Allah Akbar neno ambalo tunalisikia msikitini? Tena jamaa anaweka uso mbele ya kamera ili umuone akitamka hilo neno na anarudia mara nyingi kadri awezavyo. Hii dhambi hakika itawarudia watu wa libya.
kuna wale waliomkamata mungu, wakamdhihaki, wakamtemea mate, kisha wakamuamba kwenye mti akiwa uchi! Kwa mateso hayo watu wake wanaamini mungu kawaokoa !
 
tatizo la ujumbe huu pamoja na ya kuwa yawezekana kuwa ni kweli ni.........................hiyo you tube haiungi mkono hizi hoja...........sasa tutathibitishaje ya kuwa hii huyo you tube ni kweli labda usingeliiweka humu.........
 
RIP shujaa Gadafi.

Walibya leo hii wanachekelea kumdhalilisha mwenzao aliyewajali, sawa hakuna binadamu aliyekamilika dunia hii lakini kitendo cha kumuua na kisha kumuweka nuchani kwa maonyesho ni ukiukwaji wa hali za kibinadamu na uislamu.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ukimuona binadamu ashangilia kifo au tatizo la binadamu mwenzie uyo mtu ni wa kumuogopa kama ukoma
 
RIP shujaa Gadafi.

Walibya leo hii wanachekelea kumdhalilisha mwenzao aliyewajali, sawa hakuna binadamu aliyekamilika dunia hii lakini kitendo cha kumuua na kisha kumuweka nuchani kwa maonyesho ni ukiukwaji wa hali za kibinadamu na uislamu.

Malipo ni hapa hapa duniani.

Tafuta youtube uone video ya housegirl wa mtoto wa gadafi anaitwa hannibal aliyeunguzwa mwili na mke wa hannibal kinyama na asiende kokote sababu familia ya gadafi ndio libya/sheria na sheria/libya ndio familia ya gadafi yenyewe. Hakika malipo ni hapahapa ndo sababu sasa familia ya gadafi wanapewa malipo yao
 
Kwa taarifa yako, mabingwa wa Uislamu wa Tanzania, wamesomea Libya! Walichomfanyia Gaddafi, ndiyo Uislamu wenyewe. Ndiyo maana nchi zote za kiarabu, kwenye chimbuko la Uislamu; kote wanashangilia!
Nakile wanachofanyiwa watoto na MAPADRI SUNDAY SCHOOL ndio ukristo wenyewe?
 
benadi nae anatakiwa achapwe nao hana adabu hata kidogo,gadafi kama aliipenda nchi yake kwann akung'atuka mapema ? amepata alichohitaji

kuna post nyngne uwa zanishangaza mpaka najiuliza aliyeandka ana waza nin. Mim c mwislam lakn kitendo alicho fanyiwa gadaf si cha kiungwana na kama hao wanaojiita wana mapinduz ndivyo watakavyo ongoza serikali kwa kuwadhalilisha na kuwalawiti wale wote wanaowatuhumu nina hakika walibya watamkumbuka sana gadaf. Halafu nashangaa wewe kuona unashabkia kulawitiwa kwa gadaf sidhan kama kuna jambo la kufurahia hapo. Hata kama alitenda uovu kama mnavyodai wengne lakin kwa binadam aliye na akili timamu huwez shabkia mtu kulawitiwa. Kuhusu hao waarabu viongoz wao wanafk kama walivyo viongoz wa afrika. Gadaf kawasaidia sana waarab mpaka leo ndo wanafaid kipato cha mafta yao. Halafu kwa nin kila ktu muhusishe udin. Kwan huwez kuongelea gadaf bila kutaja uislam.
 
Gaddafi is my HERO, same as Mugabe, Nyerere, Mandela! NACHUKIA SANA ukoloni na wakoloni kama ninavyochukia UFISADI. Naungana na Membe (Serikali) kulaani wote waliosababisha vita Libya na kumuua Gadafi (Namaanisha wale wale Wakoloni- a.k.a NATO, UN)
 
GADDAF aliwapa WALIBYA mia kati ya elfukumi ya mali za libya.Mko bize kushangilia hatua moja mbele bila kufikirg hatua miamoja nyuma mlizopoteza.
 
Jamani ghadafi alikuwa amekiri makosa kwa watanzania kwa kuanza kujitolea waswahili wanasema mkubwa akikosea sio lazima aombe samahani hivyo ameomba samahani kiutu uzima asamehewe
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom