Hivi Membe anajua alichofanywa Gaddafi kabla ya risasi?

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,891
382
NIMEPATA KUONA PICHA YA KUTISHA KWENYE MTANDAO WA YouTube - Broadcast Yourself. kwenye kichwa VIDEO SHOWS MUAMMAR GADDAFI BEING SODOMIZED. WAASI WA LIBYA WALIMKAMATA GADAFI AKIWA HAI NA KUMULAWITI KWA ZAMU KAMA SEHEMU YA KULIPA KISASI KABLA YA KUMUPIGA RISASI.

GADAAFI ALIPOLALAMIKA KUWA WANAMTENDEA KINUME NA MAFUNDISHO YA ALLAH WAKAMWAMBIA KUWA YEYE SIO MUISLAMU NA HIVYO HASITAHILI KULALAMIKA.

PIA WAASI HAO WALIIWEKA MAITI YA GADAFI UCHI NA HADHARANI TOFAUTI NA IMANI YA ALLAH AMBAPO MAITI ZOTE ZA WAISLAMU HAZITAKIWI KUONEKANA .

MAZISHI YA GADAFI YAMEFANYIKA NJE YA IMANI YA WAISLAMU , NA WAISLAMU KATIKA NCHI ZA UARABUNI HAKUNA ALIYE LALAMIKA ZAIDI YA BENADI MEMBE.
NI JAMBO LA AJABU KWA MEMBE KUMUTETEA GADAFI AMBAYE HATAKIWI NA UMMA WA WAISLAMU NA UARABUNI KIASI CHA KULAWITIWA.

SERIKALI YA TZ WAKATI WA NYERERE ILIMUCHUKIA SANA IDD AMINI KWA KUTULETEA VITA AKISAIDIANA NA GADAFI.
UCHUMI WA TZ ULIYUMBA KIPINDI HICHO CHA VITA AMBAPO PESA KUBWA ILIPELEKWA KUNUNUA SILAHA BILA KUZALISHA.
ASKALI WA GADAFI WALIKAMATWA NA NGEGE YAO ARUSHA WAKATI WANAJIAANDAA KUHUJUMU TZ.

SASA INAKUWAJE MEMBE AMULILIE GADAFI ????

KAMA MEMBE ANA UCHUNGU NA WATU WANAO KUFA NI KWANINI ASIMULILIE OSAMA BIN LADEN AMBAYE PIA ALILIPUA UBALOZI WA MAREKANI??

KATI YA GADAFI NA OSAMA NANI KALETA MAAFA MAKUBWA KWA WATANZANIA??

OSAMA KALIPUA UBALOZI WA MAREKANI TZ WAKATI GADDAFI KASAIDIANA NA IDDIANI NA KUUA ZAIDI YA WATANZAINIA 10,000 BUKOBA WAKATI WA VITA.

ANGALIA GADAFI ANAVYO LAWITIWA UPATE UKWELI
 
Haki yatakiwa itendeke mkubwa.
Gaddafi kaonewa na huo ni ukweli.
OTIS.
 
Nenda kweny you tube ; weka hiyo heading halafu click. Kuna mashart ya kujisajili kwanza ili uione fuatilia
 
Membe hana lolote zaidi ya kutaka kuwatumia Waislamu wambebe kwenye safari yake ya kuelekea ikulu 2015.
 
Hata Tanzania kuna watu wanatakiwa siku moja WALAWITIWE.

Nimeipenda sana hii....... Mnatafuta DODOKI na kufanya kweli.

Tatizo kama alivyokuwa Ghadafi, wao wanaona hiyo wao haiwahusu.

TIME WILL TELL.
 
kunya anye kuku akinya bata kaarisha, yeye alipo ua wenzake mbona mlikuwa kimya? ama kweli mkuki kwa **&*^^% kwa binadamu mchungu.
 
NIMEPATA KUONA PICHA YA KUTISHA KWENYE MTANDAO WA YouTube - Broadcast Yourself. kwenye kichwa VIDEO SHOWS MUAMMAR GADDAFI BEING SODOMIZED. WAASI WA LIBYA WALIMKAMATA GADAFI AKIWA HAI NA KUMULAWITI KWA ZAMU KAMA SEHEMU YA KULIPA KISASI KABLA YA KUMUPIGA RISASI.

GADAAFI ALIPOLALAMIKA KUWA WANAMTENDEA KINUME NA MAFUNDISHO YA ALLAH WAKAMWAMBIA KUWA YEYE SIO MUISLAMU NA HIVYO HASITAHILI KULALAMIKA.

PIA WAASI HAO WALIIWEKA MAITI YA GADAFI UCHI NA HADHARANI TOFAUTI NA IMANI YA ALLAH AMBAPO MAITI ZOTE ZA WAISLAMU HAZITAKIWI KUONEKANA .

MAZISHI YA GADAFI YAMEFANYIKA NJE YA IMANI YA WAISLAMU , NA WAISLAMU KATIKA NCHI ZA UARABUNI HAKUNA ALIYE LALAMIKA ZAIDI YA BENADI MEMBE.
NI JAMBO LA AJABU KWA MEMBE KUMUTETEA GADAFI AMBAYE HATAKIWI NA UMMA WA WAISLAMU NA UARABUNI KIASI CHA KULAWITIWA.

SERIKALI YA TZ WAKATI WA NYERERE ILIMUCHUKIA SANA IDD AMINI KWA KUTULETEA VITA AKISAIDIANA NA GADAFI.
UCHUMI WA TZ ULIYUMBA KIPINDI HICHO CHA VITA AMBAPO PESA KUBWA ILIPELEKWA KUNUNUA SILAHA BILA KUZALISHA.
ASKALI WA GADAFI WALIKAMATWA NA NGEGE YAO ARUSHA WAKATI WANAJIAANDAA KUHUJUMU TZ.

SASA INAKUWAJE MEMBE AMULILIE GADAFI ????

KAMA MEMBE ANA UCHUNGU NA WATU WANAO KUFA NI KWANINI ASIMULILIE OSAMA BIN LADEN AMBAYE PIA ALILIPUA UBALOZI WA MAREKANI??

KATI YA GADAFI NA OSAMA NANI KALETA MAAFA MAKUBWA KWA WATANZANIA??

OSAMA KALIPUA UBALOZI WA MAREKANI TZ WAKATI GADDAFI KASAIDIANA NA IDDIANI NA KUUA ZAIDI YA WATANZAINIA 10,000 BUKOBA WAKATI WA VITA.

ANGALIA GADAFI ANAVYO LAWITIWA UPATE UKWELI

Hapo kwenye RED mkuu huo ni uarifu wa kivita kila mpenda haki lazima alaani kitendo cha namna hiyo!
 
nimeona mkuu kweli jamaa kapigwa mti wa matakoni live na kilio cha mtu mzima kwa mbali inaonesha ni jinsi gani alihisi ladha ya huo mti
 
MUOMBE SANA MUNGU WAKO UNAEMUABUDU
KITENDO CHA KULAWITIWA
NI CHA KINYAMA NO MATTER WHAT
HATA KAMA GADAFI ALIFANYA
UHARAMIA KUMUUA,KUMLAWITI
SIJUI BLAA BLAA BLAA
MUNGU NDIE PEKEE ANAETAKIWA
KUHUKUMU. HATA UKIDAKWA NA MUME/MKE
WA MTU WAWEZA KULAWITIWA ATII
KEEP ON PRAYING

UOTE=Sikonge;2714104]Hata Tanzania kuna watu wanatakiwa siku moja WALAWITIWE.

Nimeipenda sana hii....... Mnatafuta DODOKI na kufanya kweli.

Tatizo kama alivyokuwa Ghadafi, wao wanaona hiyo wao haiwahusu.

TIME WILL TELL.[/QUOTE]
 
Nyerere aliwahi sema wakati wa vita ya Kagera kumwambia Nduli Amin kuwa, "Mwisho wako utawadia na hakuna njia, utahukumiwa kulingana na matendo yako". Sasa nyi mnasemaje?
 
Nimeona kwenye You tube walimwingiza kijiti na siyo mambo mengine. Dini yao inaruhusu kisasi sasa wafanyeje?
 
Siungo mkono mauaji ya Ghadafi pamoja na kuwa alishiriki kwenye mauaji ya ndugu zetu kule Kagera na sehemu nyingine za Afrika. Napinga kwa nguvu zote vitendo vya ulawiti hata kama atafanyiwa mtu ambaye napingana naye mtazamo.

Nilipenda Ghadafi akamatwe na ashitakiwe kama walivyofanya kwa Saddam na kisha ahukumiwe ulimwengu mzima ukishuhudia na kupata nafasi ya kueleza kwa nini alidhani kuwa wale waliokuwa wakimpinga ni panya na mende.

Nilitaka aueleze ulimwengu alikuwa amepanga kuwafanya nini wale panya na mende wa Benghazi waliokuwa wanaandaman kumpinga. Tutajuaje kama waliomwua hawakuwa wanaficha ukweli wa mambo aliyokuwa anayafahamu kuhusu wao?
 
horrible!!! roho ya binadamu inapokuwa nyeusi, huwa mbaya kuliko ya mnyama!!!
kwanini watu wanampa mtu hukumu mbaya kiasi hicho??
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom