Hivi mdada unajisikiaje?

Pole mkuu kama ndo ulikuwa umechomekea na mshale ukachomoza dah mpwa mbona aibu vp suruali haikulowa?
 
Burn hayo hayakuwa ya kichina china kweli? Pole Mkuu inatokea sana sio kwako tu ila pia sijasema wewe unayesoma hapa msije kunivaa mkisema nimegeneralise
 
Burn hayo hayakuwa ya kichina china kweli?

Nilipanda daladala nilikuwa naenda Taifa nikakumbana na wowowo la mchina kibaya zaidi akanipa mgongo si unajua daladala za Mbagala mkuu dah kutokana na mfadhaiko nilipitiliza Taifa nikashukia Mtongani kwa Azizi Ally yaani ilikuwa adhabu. Alafu alivaa kasketi kaliko tepeta kanachora kila kitu.
 
Nimesahau kukupa pole Mkuu! Ila huyo shori kajichukulia misifa sana kumtamanisha MwanaJF nguli Bw. Burn. Lazima akawaadithie mabest zake. Hebu pata picha naye ni MwanaJF
 
na wewe utamkoseshaje raha wakati aliamua mwenyewe kuvaa hivo akijua yuko confotable :) pole Burn

FL1 just to ask you! kutokana na yaliyo mkuta Burn leo, Je nyieee wakina dada huwa mkituona sie wakina kaka katika hali gani nanyie huwa mwachanganyikiwa na sihujihisi duh kunani? hapa mbona sister huko anani tizama sana???
 
Pole kaka yangu, next time angalia mara moja then mind your own business!

Tafadhari niite mpwa nitakuita binamu brigita, mmh hayo ma boob yenyewe sidhani kama kuna mwanaume rijali angeweza kuangalia mara moja na kuamaindi hizi owuni bizinesi.
 
Tafadhari niite mpwa nitakuita binamu brigita, mmh hayo ma boob yenyewe sidhani kama kuna mwanaume rijali angeweza kuangalia mara moja na kuamaindi hizi owuni bizinesi.

Umenikumbusha phonology way back to school.
 
Kwa kweli view niliyoipata nilikuwa natamani daladala isifike hara na foleni ziongezeke kwani mdada alikuwa na blauzi zile za kuachia sehemu kubwa ya matiti yake nje na kwa hakika alikuwa amejaaliwa kifua cha kutamanisha.
?
Sasa hapo cha kushangaza au kigeni ni kipi.Wewe ni mgeni wa matiti?Kila siku unayaona,hauridhiki tu?Pengine utakuwa na matatizo fulani.
Mbona zamani wanawake walikuwa wanatembea vifua wazi bila matatizo yoyote? Kwa nini wanaume wa siku hizi ndio waone shida?
 
Kitu kiwe kimefichwafichwa ndo hua kinavutia!!!
 
Sasa hapo cha kushangaza au kigeni ni kipi.Wewe ni mgeni wa matiti?Kila siku unayaona,hauridhiki tu?Pengine utakuwa na matatizo fulani.
Mbona zamani wanawake walikuwa wanatembea vifua wazi bila matatizo yoyote? Kwa nini wanaume wa siku hizi ndio waone shida?

Kweli labda mimi ni mgeni hapa mjini, yaani hapo hakuna cha ajabu? Na katika vitu vyote navyoomba kila siku ni Mungu aniepushie kamwe nisije kuzoea mwili wa mwanamke kiasi nikiuona nisisimke. Kwetu nimeambia hii ndio hali ya uanamme kiswahili ni urijali.
Zamani nilikuwa sijazaliwa kwa hiyo sijui hao wanaume wali survive vipi?Ila swali langu ni kuwa wewe unadhani matiti ni utupu/sehemu ya siri au ni kiuongo cha kawaida kwa hiyo unaweza kulianika tu bila hofu yeyote?
 
Pole mkuu kama ndo ulikuwa umechomekea na mshale ukachomoza dah mpwa mbona aibu vp suruali haikulowa?

Mpwa haikufikia huko si unajua alistukia mapema utamu wake unaliwa bila ya idhini yake ila umenipa akili neksiti taimu nikipanada daladala navaa pampazi kabisa nisije kuishia keko bure.
 
Enzi za mwalimu bana,zilikuwz poa sana.hakuna fataki,ubakaji na ushenzi kama siku hiz,lakini watu hata nguo walikuwa hawavai.jamani sijui ule mwisho umekaribia/
 
Enzi za mwalimu bana,zilikuwz poa sana.hakuna fataki,ubakaji na ushenzi kama siku hiz,lakini watu hata nguo walikuwa hawavai.jamani sijui ule mwisho umekaribia/

sema tu kulikuwa na utamaduni wa kuficha haya mambo sio kuwa yalikuwa hayatikei, ukienda vijijini hadi leo kesi za ubakaji haziripotiwi kabisa kwakuwa yule aliyebakwa anaogopa kutengwa na pengine kubaguliwa na jamii kutokana na kubakwa kwa hiyo waliamua kuuchuna.
 
Huyo haujamkosesha raha ila ulikuwa unamkaribishia raha,lakini alipigwa na butwaa mbona humtokei,yeye alikuwa anajua kuwa ameshapata ng'ombe wa kumchuna lakini ghafla hukutimiza lengo lake,hao ni wafanya biashara,usiogope hamna cha kuwakosesha raha wala nini,as long as biashara zao ni mobile,so wanapatikana popote,ila wanapaswa kugundua kuwa sisi tumeshazisoma alama za nyakati,sisi tunakula nyama kwa pua tuu, na hamu inakwisha.Mimi nikikutana nao najishibisha macho tuu haina kuona aibu!!
 
Nilipanda daladala nilikuwa naenda Taifa nikakumbana na wowowo la mchina kibaya zaidi akanipa mgongo si unajua daladala za Mbagala mkuu dah kutokana na mfadhaiko nilipitiliza Taifa nikashukia Mtongani kwa Azizi Ally yaani ilikuwa adhabu. Alafu alivaa kasketi kaliko tepeta kanachora kila kitu.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha Mpwa umeniacha hoi kabisa. Mpwa kuna mshikaji badala ya kushuka badala ya kushuka Mbezi Louis akajikuta amefika Kibaha kisa alitegeshewa mzigo. Ila at the end alipata namba ya simu sasa kama ilikuwa taksi bubu alijiju mwenyewe
 
hapo chacha, nadhani lakini kwa njia hii wanasaidia kupunguza makali ya foleni.
 
Mimi hapa wa nywele ndefu sio nakuwa speechless tu bali pia motionless

balaaa , nywele tu??? na wapi panakuw motionless ama inakuwa tuite 911??

Pole sana Burn, shida ni kwamba ulitumbua majicho kupita kiasi...siku nyingine unakodoa mara moja halafu unajisemea sizitaki mbichi hizi.., ku enjoy enjoy tu hivi hivi si vyema, unaweza kuadhirika bure!kina dada wanaovaa hivi kwa sababu wanazojua wao wapo na wataendelea kuwepo hata iweje, ndio maana unachoweza kufanya ni kurekebisha mambo upande wako baaasi

very nice...zabibu mbichi ....

Speechless ndio maana naingia humu JF siku nzima.

MMmmm boss yako anakuadhiri kwani mnakaa deski moja!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom