SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,703
- 60,802
KUNA MAJIPU MENGINE YAMEKAA SEHEMU MBAYA HUWEZI KUYAPASUA ......
OVA
Lugumi eh?
KUNA MAJIPU MENGINE YAMEKAA SEHEMU MBAYA HUWEZI KUYAPASUA ......
OVA
Nauliza hivi zile harakati za kutumbua majipu wafanyakazi na viongozi mbali mbali zimeishia wapi??Au ilikuwa ni moto wa nyasi na harakati za mkuu wa nchi kujitengenezea jina na kufubaza watu ili wasiendelee kutoa shutuma kwa tume ya uchaguzi kwa kutoendeshwa ki uadilifu??
Na vipi kuhusu ule mkakati wa kuhakikisha wanafunzi wote wanakalia madawati mbona siusikii tena hali ya kuwa shule nyingi watoto wetu bado wanakaa chini
shika adabu yako usirudie tenaUnavyoonekana utakua uko saluni unaset nywele
IPTL, hili jipu liko jichoni.KUNA MAJIPU MENGINE YAMEKAA SEHEMU MBAYA HUWEZI KUYAPASUA ......
OVA
UKILITUMBUA TU KUNA UWEZEKANO WA KUWA KIPOFU MKUUIPTL, hili jipu liko jichoni.
Wacha awe mbunifu.aibuke na jipya mtukufu.UKILITUMBUA TU KUNA UWEZEKANO WA KUWA KIPOFU MKUU
OVA
VYA CHADEMA NI VYA KAWAIDA TU,CCM MAJIPU YAKO KWEYE MAKALIO NA JICHONI NA KICHWANIMajipu yamebakia huko chadema. Si unaona wako wanatumbuana??
Ulivomuuliza mtumbuaji alisemajeNauliza hivi zile harakati za kutumbua majipu wafanyakazi na viongozi mbali mbali zimeishia wapi??Au ilikuwa ni moto wa nyasi na harakati za mkuu wa nchi kujitengenezea jina na kufubaza watu ili wasiendelee kutoa shutuma kwa tume ya uchaguzi kwa kutoendeshwa ki uadilifu??
Na vipi kuhusu ule mkakati wa kuhakikisha wanafunzi wote wanakalia madawati mbona siusikii tena hali ya kuwa shule nyingi watoto wetu bado wanakaa chini
ALIPOWAFUKUZA MLIISHIWA KUSEMA ETI ANAWAFUKUZA BILA KUWASIKILIZA ..YAANI MH RAIS AWAITE IKIULU AWASIKILIZE KWANINI WALIKUWA WANAIBA?HIVYO AMEAMUA KUWASIKILIZA WAPINZANI KWA KUACHA KUFUKUZA MAJIZI. KUHUSU MADAWATI NI JUKUMU LETU SOTE ..KWANZA KILA MZAZI UKICHANGIA DAWTI WA MTOTO MBONA SHULE ZOTE ZITAJAA.TATIZO SISI WAZAZI HATUTAKI KUFANYA HAKI ZETU