Hivi majipu yameisha serikalini?

Nauliza hivi zile harakati za kutumbua majipu wafanyakazi na viongozi mbali mbali zimeishia wapi??Au ilikuwa ni moto wa nyasi na harakati za mkuu wa nchi kujitengenezea jina na kufubaza watu ili wasiendelee kutoa shutuma kwa tume ya uchaguzi kwa kutoendeshwa ki uadilifu??

Na vipi kuhusu ule mkakati wa kuhakikisha wanafunzi wote wanakalia madawati mbona siusikii tena hali ya kuwa shule nyingi watoto wetu bado wanakaa chini

ALIPOWAFUKUZA MLIISHIWA KUSEMA ETI ANAWAFUKUZA BILA KUWASIKILIZA ..YAANI MH RAIS AWAITE IKIULU AWASIKILIZE KWANINI WALIKUWA WANAIBA?HIVYO AMEAMUA KUWASIKILIZA WAPINZANI KWA KUACHA KUFUKUZA MAJIZI. KUHUSU MADAWATI NI JUKUMU LETU SOTE ..KWANZA KILA MZAZI UKICHANGIA DAWTI WA MTOTO MBONA SHULE ZOTE ZITAJAA.TATIZO SISI WAZAZI HATUTAKI KUFANYA HAKI ZETU
 
ilikuwa mihemko..na kujionyesha kwa watu kuwa yenyewe si erikali dhaifu.....wakati ni serikali dhaifu isiyo na dira,
sikuhizi kila mteule anaseme
"mimi namuwakilisha Raisi"
hadi wajumbe wanakoroma kwa madokta wakuu wa hospitali
mihemko,halafu hakuna wafanyalo
 
yaliyibak huwez tumbua bal yanahitaji upasuaji mkubwa tena kwa utalam wa hal ya juu
 
Wewe huoni hata mawaziri ziara za kushtukiza hawana. Ilikuwa mizuka kutoka kwa mawaziri tu
 
Nauliza hivi zile harakati za kutumbua majipu wafanyakazi na viongozi mbali mbali zimeishia wapi??Au ilikuwa ni moto wa nyasi na harakati za mkuu wa nchi kujitengenezea jina na kufubaza watu ili wasiendelee kutoa shutuma kwa tume ya uchaguzi kwa kutoendeshwa ki uadilifu??

Na vipi kuhusu ule mkakati wa kuhakikisha wanafunzi wote wanakalia madawati mbona siusikii tena hali ya kuwa shule nyingi watoto wetu bado wanakaa chini
Ulivomuuliza mtumbuaji alisemaje
 
Bila shaka we we ni mgeni , tangu lini hapa tz kitu cha maana kitasimamiwa mwaka mmoja bila kupoa?
 
Upepo upo kwenye tetemeko, kuanzia ijumaa utageukia ndege mpya inayo safiri toka Canada mpaka hapa kwa mwezi mzima.
 
Hivi kutumbua majipu na ziara zile zile tambo zimeishia wapi?
Au majipu yamekwisha?
 
ALIPOWAFUKUZA MLIISHIWA KUSEMA ETI ANAWAFUKUZA BILA KUWASIKILIZA ..YAANI MH RAIS AWAITE IKIULU AWASIKILIZE KWANINI WALIKUWA WANAIBA?HIVYO AMEAMUA KUWASIKILIZA WAPINZANI KWA KUACHA KUFUKUZA MAJIZI. KUHUSU MADAWATI NI JUKUMU LETU SOTE ..KWANZA KILA MZAZI UKICHANGIA DAWTI WA MTOTO MBONA SHULE ZOTE ZITAJAA.TATIZO SISI WAZAZI HATUTAKI KUFANYA HAKI ZETU

Mkuu, hawa CDM wameamua kuja na hoja za kipuuzi baada mission yao ya kwenda kuuana huko porini na kupeana vyeti kujulikana.

Sa hivi wanaanza kuibua hoja za majipu na ziara za kushitukiza za magufuri.

Wauambie kwanza UMMA wa watanzania huyo Ben Saa8 wao sijui saa 10 wamemficha wapi.?

Wanazusha taharuki mitandaoni wakati wa ndo wanaratibu mission za ajabuajabu.

Wanaenda kujichimbia porini na kupeana vyeti utadhani ni makomando.

Hawa jamaa bure kabisa.
 
Back
Top Bottom