Hivi Magamba wataandikaje mabango yao kesho?

Yanga+yabamizwa+5-0+na+Simba.JPG
 
Bei ya viwanja vya makazi bei kubwa, hela ya kujenga umetoa wapi? nyumba bora ni za ukoo, je wewe ni ukoo gani? Bango la tisa
 
MLIPIGA KELELE ZA EPA MPAKA MKAA KIMYA NA WALIOCHUKUA BADO WANADUNDA. CCM NI KILAKITU, IKIAMUA ITAKULA, IKIAMUA ITAJENGA. CDM MLIE TU. Bango la sita.
 
Wataandika, "CCM NDO IMELETA AMANI......" Maana ndiyo walichobakiwa nacho. Hutumia hili kuwapumbaza watu ili wao waendelee kula! Watajiju ikifika 2015!
 
Mwisho wa hiki chama ni 2015,maana kimekosa nidhamu kabisa ya kuongoza wananchi badala kimekua chama cha watu wachache wenye navyo.
 
Hata Yanga sasa wanaikana CCM? Ama kweli CCM bye bye! Yanga mara zote walidai kuwa wao ni ccm na ndo walioleta Uhuru! Kwisha kazi.
 
BANGO:

Tunawajua wananchi wetu ni wasahaulifu ufisadi Kama Kawa kama dawa,tutawatawala milele na ma V8 sasa yamepitwa na wakakati tunataka mwaka ujao tutumie ma vogue sport,,,ccm oyeeeeeee.........
 
tuliahidi tumeweza "Maisha bora kwa kila mtanzania, tanzania yenye neema tele yote yawezekana"- Uchaguzi- 2005
 
NAPE atasema-HATUTAKI KUKABIDHI NCHI KWA WAHUNI,TUNAMWOMBA DR SLAA AUNDE GOVT YA UKWELI ASIWAWEKE WAHUNI AKINA CHIBUDA 2015! bango la pili. Mzee mkapa SIKUHUSIKA NA EPA,NSHAJITETEA KWA DR SLAA NA AMENIELEWA Bango la tatu. WAZANZIBARI HATUTAKI MUUNGANO! NAPE NDO ANAGANGANIA TU!
 
Kesho ccm watakuwa na mkutano wao pale jangwani sasa sijui wataanikeje.
Maoni
waandike Vua gwanda vaa Gamba

Wataandika - "TUNASIKITIKA KUACHIA DOLA 2015"

- "NCHI IMETUSHINDA CDM TUSAIDIE KABLA YA 2015"

- "CDM PUNGUZA SPEED WENZENU TUKO HOI KILA IDARA"

- "TUMEKOMA KUDHARAU UPINZANI"

 
Back
Top Bottom