Hivi Magamba wataandikaje mabango yao kesho?

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kesho ccm watakuwa na mkutano wao pale jangwani sasa sijui wataanikeje.
Maoni
waandike Vua gwanda vaa Gamba
 
Wataandika

cdm amtuwezi nyie mlienda kwenye mkutano bure,sisi tumepewa kila mtu tsh 500o mtajibeba
 
Watandika;

TUNAJIJUA SISI NI MAFISADI, BUT TUKALE WAPI??!!
 
Tutaendelea kuchukua mikopo mikubwa popote duniani ,tukifaidi na wake na watoto wetu mpaka wananchi mutie akili

Mwaka huu tutaagiza baiskeli millioni moja za kuwavunja viuno wajawazito

Mabwawa ya maji ya sumu toka migodini yatawekewa mabomba mpaka kwenye nyumba zenu

Tutaendelea kunyang'anya Maiti na kuzitupa msituni kama mizoga
 
Ziara za rais nje ya nchi zina manufaa makubwa, ona tunaletewa shanga toka India, Doha, Oman na Ulaya, Sisi tunawapa dhahabu, Almasi na Tanzanite etc. hilo bongo la pili
 
Nape keshasema VUA GAMBA..VAA GWANDA....VUA GWANDA ....VAAA UZALENDO sijui unauvaaje uzalendo!


attachment.php
 
Vijisenti vya RADA tumerudisha, tafuteni jingine; CDM hamtuwezi sisi kwa kula rushwa, Sura ya kinyago haimtishi mchongaji. Bango la Tano
 
Kasi kuukuu, Ari Kuukuu na Nguvu kuukuu, taabu kwa kila mtanzania. Kikwete 2005-2015. Bango la Sita
 
Mshahara mdogo, Kodi kubwa, mfumo wa bei mkubwa; Kwani Kikwete ni rais wa kodi na mifumko ya bei??? Mshahara mdogo ungezaliwa Ulaya, kwani rais alikuomba uzaliwe Tz? bango la saba
 
Usalama wa CCM, Polisi wa CCM, Jeshi la CCM; Kuachia nchi mpaka nchi imepasuka vipande. Bango la nane
 
Maji safi utatafuta mwenyewe, dasani si ipo madukani?? nani kasema watanzania hawana maji safi?? Fitina za CHADEMA ZIKOME
 
Back
Top Bottom