Hivi madaktari bingwa wote ni wachaga?

makabila yenye wasomi wengi Tanzania ni Wahaya , Wachaga , Wangoni , Wanyakyusa, Wajaluo na Wasukuma
 
makabila yenye wasomi wengi Tanzania ni Wahaya , Wachaga , Wangoni , Wanyakyusa, Wajaluo na Wasukuma

mkuu hapo umenena ila kwa usahii hapo kwa wachagga umegeneralize mno ungesema hivi Wamachame,Warombo, Wakibosho na Wachagga
 
Usiombee ukaumwa meno ukaenda Muhimbili. Utakutana nae tena Orijino, dam dam.
Anayetibu meno nae ni daktari?
tehe tehe tehee!!!

kwa mfano, nae akiandika jina lake, mbele anaweka MD? yani Ramadhani Kishindindi, MD.? hakuna kitu hapo!!!!,
 
Acheni kuleta maada za kikabila hapa JF,
Naomba management ya JF iwafungie members wote wenye ukabila na udini hapa jamvini kunusuru thamani ya WanaJF wote.
It is nonsense to discuss about uchaga humu ndani,CDM haitapata kushinda kamwe kutokana na tatizo hilo la sifa za kijinga......je nyie wachaga si pia mnaongoza kwa ULEVI na WIZI ama mnatufanya watanzania wajinga.Hata serikalini wanaohujumu utendaji wa Kikwete asilimia 80 ni wachaga,pia mnaongoza kwa Kugushi VYETI ili muonekane mumesoma sana. Wizi wa pesa kwenye MABENKI mnaongoza,sasa hivi tunadhibiti hayo ndiyo maana mnajifanya kukipigia DEBE CHADEMA ili muiba sana....HILO halitawezekana kamwe hata MUNGU anajua hilo.

MUNGU IBARIKI TANZANIA....
 
:yawn::yawn::yawn:
 
wahaya na wachaga they run this country....yaani ikitokea hawa jamaa wakagoma effect yake atakuja kuiamua obama...yani sehemu zote nyeti wamezikalia wao na uko ulaya/ughaibuni ndo usiseme yani wahaya yamejaa

ongezea na wanyakyusa
 
Nyie endeleeni kupiga umbea tuu. Wachaga wanasonga mbele kubukua na wanarithishana. Ukicheki maintern pale muhimbili na mwananyamala hospial utakuta ni wale wale wakina shayo, massae, kimaro, mushi, swai n.k
na kwa UKAFIRI ndio wanaoongoza !
1.Kufuga, kuuza na kula Kitimoto . 2. Kuabudu Sanamu. 3. Kunywa na kuuza pombe (Ulevi) 4. Kula riba. 5. Ufisadi. 6. Dhulma. 7. Kukwepa Kodi. Wizi Mkubwa. 8. Utapeli (hasa Wahaya) na yanayofanana na hayo !:A S embarassed:
 
hiyu aliemfanyia oparesheni ya kichwa badala ya mguu na wakichwa akafanyiwa kwenye mguu alikuwa dr gani tena...naomba jibu wakuu
Vipi kuhusu kiwango chao cha uadilifu ? nini mchango wao katika miaka 50 ya Uhuru !? :A S embarassed:
 
na kwa UKAFIRI ndio wanaoongoza !
1.Kufuga, kuuza na kula Kitimoto . 2. Kuabudu Sanamu. 3. Kunywa na kuuza pombe (Ulevi) 4. Kula riba. 5. Ufisadi. 6. Dhulma. 7. Kukwepa Kodi. Wizi Mkubwa. 8. Utapeli (hasa Wahaya) na yanayofanana na hayo !:A S embarassed:

wakwere, kulana majicho au kukameruniana. Mafilauni wakubwa nyie wakwere ndo mnachojua
 
wakuu natazama news kutoka tv yetu ya Tbc'eebanae nilichogundua ni kwamba madaktari bingwa wote walio hojiwa ni wachaga aisee'kumbe wamangi wamejichimbia sana ndani ya nchi hii'namshauri kikwete aje na aidea ya kuchanganya aweke wakwere'e kidogo manake jamaa ana kawivu ka kajinga kweli watu wangu'wachaga walisoma zamani wee nanii achana nao'kwi kwi!

Jamani tuache ukabila na utani. Hebu tuwe serious kidogo. Hivi hawa mabingwa wanasemaje kuhusu mgomo, wana-support au???
 
Kuna mmoja nasema wanapeana.... Kumbe udaktari bingwa unapeanwa??.... Aiseee......

Udaktari bingwa unafanyiwa kazi...tena nzito, usilete dharau! PhD wanapeana, JK keshapewa za kumwaga, sio MMED au MSc...watu wanatoka jasho...na wanadeserve credits kwa jitihada zao!
 
wakuu niliishia darasa la pili baadae nikaacha shule kisa nilikimbia umande wa asubuh kijijini kwetu.Naomba kuuliza swali.Udaktari bingwa unasomewa,unatunukiwa,unateuliwa au ni swala kuwepo mda mrefu kazini ktk eneo mojawapo la kitaaluma?
 
Back
Top Bottom