Hivi madaktari bingwa wote ni wachaga?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wakuu natazama news kutoka tv yetu ya Tbc'eebanae nilichogundua ni kwamba madaktari bingwa wote walio hojiwa ni wachaga aisee'kumbe wamangi wamejichimbia sana ndani ya nchi hii'namshauri kikwete aje na aidea ya kuchanganya aweke wakwere'e kidogo manake jamaa ana kawivu ka kajinga kweli watu wangu'wachaga walisoma zamani wee nanii achana nao'kwi kwi!
 
sidhani kama kuna mkweree doctor'ikitokea nikakutana naye nitamkimbia

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa....................... mkuuu!!!!!!!!!!!!!!!!..................... sio vizuri namna hiyo, umenijeruhi vibaya sana mbavu zangu!!...........................
 
Wakwere watakuwa vipi madaktari leo kunako mgomo? Thye should have started long time to take cover. Alas nimekosea bwagamoyo witchdoctors I mean,, Hawa wanaweza kuendesha vyema kitengo cha mifupa na icu?
 
ni kweli wachaga ni wengi lkn me nijuavyo mapofesa wengi muhas ni wahaya.nenda kaangalie nisemacho utagundua ni kweli tupu.sasa hivi makabila mengine ndo yanaibukia.na ni kwasababu wenzetu wahaya waliwahi kwenda shule.babu zao na baba zao waliuza kahawa na kufanikiwa kusomesha watt wao.
 
****** atakuaje dr? nyway nin nimewahi mwona ****** dr wadau sio uongo ila ni mmoja tu ila pia msisahau dr mmatumbi,mdengereko,mzaramo,etc mkawatafute
 
hata idsm maprof wengi ni wahaya na wachaga wakifuata ila 2ache kulalamika wenzetu walitangulia kusoma they deserve those privilleges,utawala wamenyimwa na kula wanyimwe? we just need to pull up ourselves mbona wachaga hawalalamiki wahaya wanabebwa na kinyume chake? sasa ****** shule hataki atakuaje dr? watu wangeenda moshi watambue jinsi shule inavozingatiwa na kuwekeza pia,alaf mbona jeshini na polisi kuna wakurya wengi mbona hamlalamiki?
 
Wahaya na wachaga they run this country....yaani ikitokea hawa jamaa wakagoma effect yake atakuja kuiamua obama...yani sehemu zote nyeti wamezikalia wao na uko ulaya/ughaibuni ndo usiseme yani wahaya yamejaa
 
hiyu aliemfanyia oparesheni ya kichwa badala ya mguu na wakichwa akafanyiwa kwenye mguu alikuwa dr gani tena...naomba jibu wakuu
 
Back
Top Bottom