CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 687
Maji yananukia harufu tamu haina mfano, anaanza kwa kukalishwa kwa namna ambayo sehemu za kati zinatulia kwenye kisos, zinaanza kukandwa taratibu na maji ya nazi yenye machicha yake, kisha zinapakwa mafuta ya nazi.
Halafu aanza kuogeshwa mwili, kusuguliwa asuguliwa kwa machicha hayo hayo ya nazi (sio dodoki), akitoka hapo afukizwa uturi na kufungwa khanga, kazi yake ni kupumzika chumbani na kwenda sebuleni kula tu.
Ikawa hivyo siku ya kwanza, ya pili na hatimaye ya tatu akasalimisha mtaji wote wa ngombe na kuikana familia yake (jamani hapa siwasemi wale ndugu zangu wanaosifika kwa ufugaji ngombe . . . . . haha aha ha ha)
Kwa kweli walisifika mno kwa mapenzi motomoto na kutunza ndoa zao, waliimudu hiyo fani kisawa sawa. Hii ni simulizi fupi ya sehemu ya ufundi na utaalamu wa mapenzi ambayo nimehadithiwa na kaka yangu mkubwa.
Saa hizi nikiwa kama kijana siyaoni hayo, napata wakati mgumu kuamini kama ni kweli ilikuwa hivyo kipindi cha nyuma . . . . kulikoni????