CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
- Thread starter
- #41
Zamani wanawake wengi walikuwa wanakaa home tu, kazi ni moja kutafuta nazi na karanga ulisahau mikoa mingine hakuna nazi, baasi hapo shughuli ni moja tu. sasa hivi kila mtu akirudi home anakoromea upande wake ndio tatizo kakangu
Mi naona utamaduni wa kimagharibi upande wa kustawisha mapenzi na kuyadumisha ni ovyo kabisa.
Kizuri naona ni kuhamasisha kupunguza unyanyasaji kwa wanawake ktk jamii za kiafrika.
Tofauti na hapo, mengine yote ni ZERO KABISA