Hivi kweli walikuwepo . . . ??

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Maji yananukia harufu tamu haina mfano, anaanza kwa kukalishwa kwa namna ambayo sehemu za kati zinatulia kwenye kisos, zinaanza kukandwa taratibu na maji ya nazi yenye machicha yake, kisha zinapakwa mafuta ya nazi.

Halafu aanza kuogeshwa mwili, kusuguliwa asuguliwa kwa machicha hayo hayo ya nazi (sio dodoki), akitoka hapo afukizwa uturi na kufungwa khanga, kazi yake ni kupumzika chumbani na kwenda sebuleni kula tu.
Ikawa hivyo siku ya kwanza, ya pili na hatimaye ya tatu akasalimisha mtaji wote wa n’gombe na kuikana familia yake (jamani hapa siwasemi wale ndugu zangu wanaosifika kwa ufugaji n’gombe . . . . . haha aha ha ha)


Kwa kweli walisifika mno kwa mapenzi motomoto na kutunza ndoa zao, waliimudu hiyo fani kisawa sawa. Hii ni simulizi fupi ya sehemu ya ufundi na utaalamu wa mapenzi ambayo nimehadithiwa na kaka yangu mkubwa.


Saa hizi nikiwa kama kijana siyaoni hayo, napata wakati mgumu kuamini kama ni kweli ilikuwa hivyo kipindi cha nyuma . . . . kulikoni????
 
:nerd:
Weeh sipiyuu!sasa kwenye kisosi kama hazienei itakuwaje,si zitamwagika?

Mkubwa, ohoooo
Unakuwa umeshapimwa saizi ya sehemu za kati kitamboooooo
Kikiletwa kisos ni kuenea tu, hakuna cha kumwagika wala kuvuja
 
daah Nazi tena
kazi kweli kweli ..
recipe niijuayo ni tofauti sana lol

Unajifanya kushangaa nini sasa???
Au unataka kusema unajivua gamba???
Wewe ndio unanipa haya mambo mpaka nimeuza hadi jina langu
 
Back
Top Bottom