Hivi kweli inawezekana?

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
At this age and time...
Is it really possible?
For a young man/woman to be sexually pure until marriage?

Inawezekana kweli?
kwa kijana kubaki msafi kimapenzi hadi ndoa?
 
absolutely! Hata wewe mwenyewe, kama isingekuwa vishawishi ungekuwa sexually pure mpaka leo. But.......!....!!!
 
Is it really possible?
For a young man/woman to be sexually pure until marriage?

Inawezekana kweli?
kwa kijana kubaki msafi kimapenzi hadi ndoa?

Wewe una-define kivipi kuwa kijana kuwa msafi kimapenzi hadi ndoa.. Kiroho au kimwili? Kwani mtu akifanya mapenzi au akipoteza bikira ndio ana chafuka? mbona uongelei kufanya Masturbation au kutumia dildo ni sawa na kufanya mapenzi au sex..

Kinachomchafua mtu kiko kichwani..ni tamaa, uasherati etc.. lakini kuna wengine wameingia kwenye mkumbo kwa kubakwa..etc..hata watoto wa kiume inatokea sana kwa ma-housegirl wetu.. etc..hawa mimi nawahesabia wako safi..kwani hawakuwa na tamaa..

Anyway, kuwa safi siyo kuingiliwa kimwili bali ni kuingiliwa kiroho na shetani mchafu na tamaa zisizo na mpango..
 
It is possible!

I was married... 5 years ago, at age of 25, while still a virgin.
Yes, inawezekana.
 
It is possible lakini kwa kizazi hiki cha sasa ni wakuhesabu

Mwalimu wangu alinifundisha, ukishatumia neno "Lakini" kwenye sentensi,
basi, chchote ulichokwisha kukisema kinakuwa nullified!!!
 
Wewe una-define kivipi kuwa kijana kuwa msafi kimapenzi hadi ndoa.. Kiroho au kimwili? Kwani mtu akifanya mapenzi au akipoteza bikira ndio ana chafuka? mbona uongelei kufanya Masturbation au kutumia dildo ni sawa na kufanya mapenzi au sex..

Kinachomchafua mtu kiko kichwani..ni tamaa, uasherati etc.. lakini kuna wengine wameingia kwenye mkumbo kwa kubakwa..etc..hata watoto wa kiume inatokea sana kwa ma-housegirl wetu.. etc..hawa mimi nawahesabia wako safi..kwani hawakuwa na tamaa..

Anyway, kuwa safi siyo kuingiliwa kimwili bali ni kuingiliwa kiroho na shetani mchafu na tamaa zisizo na mpango..

Tulizo,
usafi niliouongelea ni pamoja na hayo yote uliyoyataja...ngono, masturbation,etc.
Je inawezekana?
The temptation is just too much..
kila niendapo ni kama inakufuata.
Siku hizi ni kama wasichana wamekuwa rahisi sana, ukimsalimia tu, ashakuvulia nguo.
Kadhalika wanaume sisi, demu akishakuchekea tu, basi translation yako ni kumvua nguo..
I always wonder..inawezekanaje kukaa mpaka ndoa bila?
V
 
It is possible!

I was married... 5 years ago, at age of 25, while still a virgin.
Yes, inawezekana.

4 ril? hivi virgins bado wapo?
Sijui nifurahi ama?!!!
siku hizi nasikia wakisema, "virginity is lack of opportunity" -Wahenga wapya.
 
kama wapo safi ni wachache .....kuna kipindi cha BBC j2 asubuhi kinaitwa kimasomaso......wadada walikuwa wanahojiwa wanasema wanajiexpress ili waweze kubaki safi kwa waume watakao waoa...........hapa kuna wasafi kweli na wasafi wa uongo huku wanatumia njia nyingine.....usijekutana na mdada kama huyu ukafikiri alikuwa safi..... mabadiliko ya tabia kwa jamii yanachangia usafi kutoweka kabla ya ndoa
 
inawezekana, nawafahamu watu wengi tu wanaume kwa wanawake wameoa au kuolewa wakiwa bikira...kabisaaaa
 
Back
Top Bottom