Hivi kwanini wanawake wanapenda kulala upande wa ukutani?

Mwanamke katoks upande wa kushoto wa ubav wa mwanaume so mwanamke lazima alLe kushoto kwa mwanamme
 
Kitaalamu/kiafya wewe mwenyewe unashauriwa ulalie upande wa kushoto ili moyo uwe huru kusukuma damu wakati umelala. Vile vile kimahaba mnatakiwa mlale kwa kukumbatiana Fulani aidha wewe nyuma yake au face to face mkipishanisha uso yeye usawa wa kifua chako. Sasa kwa sababu unampenda utamruhusu na yeye alalie kushoto hivyo wewe kwa nyuma yake. Wana wake wa5 kuona nyeti zako ni upu.nguani
 
Ulishafanya utafiti na kwa nini wanaume tunapenda kuanza kutomasa/kunyonya titi la mwanamke la kushoto?Teh
 
yaani ndani ya miezi 4 umegonga wasichana 5?!kweli upo siriasi?!
una umri gani?!kwanini wewe jamaa ni domo zege namna hiyo?!yaani milupo yote hii mtaani ndani ya miezi 4 umebahatika kupata wa5?!tena nina wasiwasi hao wata5 wenyewe wote ni mabeki 3 wewe huna uwezo wa kumshawishi mwanamke mwenye akili yake timamu muende mkalale huonekani kuwa na ujasiri huo kabisa ebooo umenikera sana jitaidi idadi izidi hiyo atleast wafike 15 kwa mwezi mmoja
 
Mkuu uko sahihi.
Wengine mambo ya kubana kitanda ukutani tumesahau siku nyingi. Kubanisha kitanda ukutani hata kutandika inakuwa tabu; kama ni kipana shurti upande kitandani wakati wa kutandika!
Kuweka kitanda kati hutegemea zaidi ukubwa wa chumba na pamoja na ukubwa wa kitanda, vyumba vya uswahilini ukiweka kitanda kati basi ukubwa kuwa kitanda ndo itakuwa kapeti hata mlango haufungi na na ukiingia tu unarukia kitandani
 
Wakuu,

Kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo, wanawake wengi wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba.

Sasa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala ukutani nikaona ni vizuri ni niwashirikishe katika utafiti wangu na nyie.

Wakuu kama kuna ajuaye anihabarishe tafadhali
Kwa sababu ni waoga.
 
Tatizo unakuta mtu anakaa chumba kimoja lakini anatengeneza kitanda cha 6' x 6' kinajaza chumba!
 
Sasa mkuu likitokea balaa uanze kumshtua aamke unaweza hata mjeruhi. Mwanamke anatakiwa akae sehemu salama.
 
tang'ana mzee wa udsm...

mambo mengine hutokana na "mapokeo"... kama tumerith vile...kawaida huwa sheria

labda nkuulize mfano tatizo likitokea night nani wakwanza kutoka kwenda kukabiliana na tatizo? mf mwizi...

japo ni nje..mkuu ndani ya miezi kadhaa umelala na wadada zaidi ya wanne... sirias.? and ur confident enough to speak out....
mi napenda kulala mwanzo....hapo veepee
 
wanawake watano tofauti wote umewapeleka kwako wakalalia kitanda chako
ndani ya miezi minne?

Labda ukutani ni rahisi ku fake orgasm..
wanatazama ukuta na kujificha sura baada ya kukudanganya walikuwa wamepagawa
Unaoneka mtaalam wewe
 
Wakuu,

Kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo, wanawake wengi wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba.

Sasa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala ukutani nikaona ni vizuri ni niwashirikishe katika utafiti wangu na nyie.

Wakuu kama kuna ajuaye anihabarishe tafadhali
waoga sana
 
Back
Top Bottom