Hivi kwanini wanawake wanapenda kulala upande wa ukutani?

Sio utafiti ndio jinsi ilivyo. Naungana na waliotangulia kusema kwamba mwanaume analala njiani kwasbb ya kupambana na lolote usiku na pia mwanaume anakuwa wa mwisho kuingia kitandani baada ya kuhakikisha milango yote ya nyumba imefungwa.
 
Wakuu,kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo,ktk kipindi cha miezi minne iliyopita,nimebahatika kulala na wanawake watano tofauti na kila mmoja kwa wakati wake,lakini nimegundua tukiwa bed,hawa wanawake wote niliolala nao walikua wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba!asa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala ukutani nikaona ni vizuri ni niwashirikishe ktk utafiti wangu na nyie wakuu.kama kuna ajuaye anihabarishe plz.
Buraza umetishaaaaa miez 4 wanawake 5 hivi unadhani ni sifa eh
 
Wakuu,kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo,ktk kipindi cha miezi minne iliyopita,nimebahatika kulala na wanawake watano tofauti na kila mmoja kwa wakati wake,lakini nimegundua tukiwa bed,hawa wanawake wote niliolala nao walikua wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba!asa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala ukutani nikaona ni vizuri ni niwashirikishe ktk utafiti wangu na nyie wakuu.kama kuna ajuaye anihabarishe plz.


Jiulize kwanza kwanini wabongo wengi hupanga kitanda kwa kukibananisha ukutani?
 
kitanda kiwe katikati.kunajamaa huku kwetu alikuwa na mke kmbe yle mke wake alikuwa na kimchepuko.walikuwa wananyumba ya tembe.mchepuko alikuwa ametoboa kishimo kwamba kila akifika tu anachkua mdenge anamchoma demu.yle dem akchomwa 2 anamuaga mmewe anakwenda kukojoa kumbe anakwenda kubanduliwa chapchap.cku 1 jamaa akatanglia klala akamwacha wfe nje.kjamaa kkaja kkaanza kchokonoa kmbe knamchokonoa jamaa.jamaa kaamka akaanza kvizia akakakta kajamaa kamemxubli.daaah klchofata ni majanga
 
POLE KWA KAZI NGUMU..tano tofaut ndan ya miez4? na hapo hujatoa frequency ya ujio wa kila 1 ...
 
Naona hii mada inawahusu wale wa kuweka vitanda ukutani ( na haya ni matokeo ya kukariri) sisi wengine haituhusu maana tunaweka vitanda katikati hakuna anayekuwa ukutani.

Mkuu uko sahihi.
Wengine mambo ya kubana kitanda ukutani tumesahau siku nyingi. Kubanisha kitanda ukutani hata kutandika inakuwa tabu; kama ni kipana shurti upande kitandani wakati wa kutandika!
 
Siku hizi kuna vitanda vya chuma no kwich kwich kwich ni silence balaa
Wengine tunatafuta vitanda vya full sponge saa hii wewe bado unalalia vitanda vya chuma zamani sana mtu unalala ukigusa kitanda usiku na usingizi unaisha shauri ya baridi mm siwezi lalia hicho kitanda.
 
Acha ushamba ingia kwenye furniture show rooms uone vitanda vya kisasa sio vile vya enzi za babu yako
 
Hahaha mimi wa Pemba mnazi naimani ulimaanisha firearm ...wacha na mimi nibadilishe mawazo ya kale niwe morden zaidi yako ,kitanda kitakaa sebuleni ,na master bedroom itakua kwa ajili ya kuhifadhia vijiko
Teh! Teh! Teh! Kha.... umenichekesha wew mtu....!
 
Donald Trump alisema waafrica wanawaza kula na kufanya Ngono jamaa hakukosea!!
 
Wewe ndio mang'aa kabisa.kwa nini usofanye utafiti kwa kuwauliza wao halafu unaleta mawazo yako mepesi huku na utoto wako hapa.nya...fu
 
Hii mada..!!?
Kitaalamu kitanda kina takiwa kuwa accessed at least three sides..
Sasa wewe mkuu umekariri sababu kwako ndio umekisogeza ukutani(makosa)

Embu jaribu kukiweka kati afu fanya huo utafiti wako tena...
Mkuu, huyu jamaa atakuwa anaishi kwenye nyumba za kupanga ambazo mara zote vyumba vinakuwa havitoshi kulingana na mbanano wa vitu ndani.
 
Mkuu ! Hiyo ilishawai tokea kuna demu wangu mmoja alikuwa anataka mie nilale ukutani nilishaangaa kila nikitaka kujalibu nafsi inaniambia usikubali acha ujinga wewe basi nilishindwa demu akakataa akalala kwenye sofa siku hiyo sikumgonga
 
Back
Top Bottom