juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,472
Ningemfyatua Kibao Kesho Angepika Kidogo.
Mafriji yana kazi gani?Kwa Nn msipike chakula kinachotosha kwa wakati/siku hiyo mnakula mnamaliza, mambo ya kulazalaza misosi ndg yangu unataka viumbe visivyoonekana vichezee ule tena, Ndiyo maana mnajambajamba, mnazeeka haraka, vimbiwa na kusinzia/kuchoka hovyo virutubisho vyote vinakwisha. Lkn pia ni hatari kula kiporo coz unaweza kuwekewa sumu. Pika kidogo kula maliza mara nyingine mnapika tena.
Karibu sana rafiki,hapa kuna kiporo cha dona na maharage!Mm mbona napenda sana kiporo yaan sana tupo tofaut
vitambii
Hivi ukishiba hivo kuna kwenda job kweli?Aiseee ungepata na wali pembeni ingekuwa poa sana plus kombe lako la kahawa aiseee ni shidaaa
Nimeishazoe so haunisumbui kabisaHivi ukishiba hivo kuna kwenda job kweli?
Maana shida nyingine ya uporo ni kuwa haina adabu kwenye kusinzia
Hapa niko nakula kiporo cha wali choroko...
Ooh yes, tena ya mchai chaiChai ya rangi ilikuwepo?