Blessingmore
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 371
- 379
Wengine muwe mnakaa KIMYA................Wakati wa kujifungua huwa wanapitisha haja kubwa wanaposukuma mtoto.
Wengine muwe mnakaa KIMYA................Wakati wa kujifungua huwa wanapitisha haja kubwa wanaposukuma mtoto.
kama wewe unatakiwa kuchuna, maana wewe unafikiri naandika tu. kuna ukweli siyo utani.Wengine muwe mnakaa KIMYA................
Mkuu daaah umenikumbusha masama mulaa back in 2014 nilikuwa kule & was my best food machalariiikiporo kitamu embu kula kiporo cha machalari utie na maini alafu uje tena hapa
kwenye midomo
Mdomo au midomo, mtu akisema lips zio lazima iwe midomoni, lips inaweza ikawa upper lip na lower lip.
Back to question, namaanisha mkoa upi hizo lips zinapatikana, nataka kuzichum, hata zikiwa na mabaki ya viporo
Ni kweli, nimekuja kula nikiwa kwangu, nikagundua ni kitamu sana, tatizo nikisha kula dakika kumi nyingi napata usingizi mzito sana lazima nilale, Ila nakula,Malezi... mazoea vinachangia
Ndio, tena unasisitiziwa clinic kuwa usijaribu kula kiporo maana wakati wa kujifungua lazima ujisaidie haja kubwa.Ukiwa mjamzito wataalam wanahamasisha kutokula viporo
Nina kiporo changu cha kisamvu cha nazi na sato.Tena kiporo cha wali maharage aisee asikwambie mtu na pilipili yangu ni balaaa.
Mkuu huyo mpenzi wako kwao mambo safi? Maana hawa ndugu zetu sikuhizi maisha ya tamthilia yamewaathiri sana.Kwema wakubwa?
Kuna hii ishu huwa inanishangaza sana, ni kuhusu wanawake wa kitanzania kutopenda kula msosi uliolala{kiporo}, hii ishu nimekua nikiiobserve toka kipindi nikiwa naishi nyumbani, dada zangu pamoja na mama walikuwa huwezi kuwalisha kiporo cha chakula chochote kile, mwanzo nikawa nahisi hawa labda wanaleta pozi coz wanajua vipo tu na wala hawajui mzee anavyohangaika kuvipata lakini mpaka leo wamekua watu wazima wanaojitegemea hawali kitu kinachoitwa kiporo kabisa.
Sasa nina mpenzi wangu nae naona anataka kunitia umasikini mchana kweupe coz nae ana tabia hizo, yani juzi kati kaja gheto kapika ubwabwa na tambi, sasa ule msosi uliobaki si tunatakiwa tuule asubuhi au mchana ya kesho yake coz tunakua tumeuhifadhi vizuri, mwenzangu yeye kaamka kaumwaga jalalani, kumuuliza ananijibu simple tu kuwa yeye halagi viporo hivyo akajua na mie silagi, pia wakati niko nasoma nilikuwa nasikia wadada wengi wakisema kuwa kwao ni mwiko kula viporo vya msosi wowote. Sasa nilitaka kujua hivi ni kwa nini hawa wanawake wa kitanzania hawalagi viporo?
Aiseee ungepata na wali pembeni ingekuwa poa sana plus kombe lako la kahawa aiseee ni shidaaaNina kiporo changu cha kisamvu cha nazi na sato.
Ngoja nikiamkie asubuhi hii.
Ila wanasisitiza watoto wa kiume wasipewe viporo.