xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,134
- 7,308
Mwanamke muelewa hana kazi na hela,,na mwanaume muelewa anajua mahitaji ya mkewee. Hela za mwanamke anapaswa kumpa mwanaume zoteeee,,,ila kama tu huyo mwanaume ni muelewa ,km sio muelewa asipewe.Watu sijui wanafanyaga nini kipindi cha uchumba!!! Kuna haja ya kila kijana kusoma vitabu vya kuhusu uchumba na ndoa kwa kweli. Ishu ya finances katika ndoa inabidi ijadiliwe kabisa ili huko baadae msije shikana mashati na kulaumiana.
Nyie wawili ndo mna maamuzi ya jinsi mtakavyotumia hela yenu.
Kama mtachanganya pamoja na kupanga bajeti ya nyumba pamoja ni sawa!
Kama mtagawana majukumu ni sawa pia.
Kama kila mtu atafanya anachotaka ni sawa kabisa
Na kama mkiamua hela ya mmoja haimuhusu mwingine sio mbaya...
NI NDOA YENU, MAAMUZI NI YENU PIA!