Hivi kwanini wanawake hata mkiwa na hela zenu bado mtamuomba mwanaume hela?

Mimi mwanamke hatakama ananizidi kipato mara 10, akiomba ninayo nampa...
Nikikaa na mwanamke miezi mitatu ajaomba ela roho hua hairidhiki, nahisi kuna sehem anaomba.
mkuu unakuta wengine wako vzuri sana kiuchumi na hawana wanapoomba zaidi ya wao kutoa ila cha ajabu hawezi kukusaidia baadhi ya majukumu
 
'Tutaishi katika shida na raha'

Hayo maneno sijui kama wanayazingatiaga hawa wanawake
Wanawake wanajitahidi sana katika hilo,taabu iko upande huo mwingine.
We umebweteka tu eti kwa shida na raha!! Shida za kujitakia kweli!!!
 
Katika hili kwa uwelewa wangu mdogo ni kuwa, rizki ya nyumba inatoka kwa Mungu na anaweza kuileta kwa kupitia mikono ya mwanamke. Kama mwanamke unakipato kikubwa kuliko mume wako, inabidi umsaidie kwa uwezo wako, ikiwezekana unachangia 70-80% ta budget ya nyumba, inayobaki unamwachia mwanaume.

Sasa hawa wenzako hawaelewi, au wanajifanya hawaelewi Sky Eclat
 
mkuu unakuta wengine wako vzuri sana kiuchumi na hawana wanapoomba zaidi ya wao kutoa ila cha ajabu hawezi kukusaidia baadhi ya majukumu
Nyoka_mzee hawa viumbe ni wakukaa nao kwa akili sana...
Usiwape nafasi ya kukuona unashida... Akiomba ela kama sina ntakopa! Sipendi dharau kabisa
 
Nyoka_mzee hawa viumbe ni wakukaa nao kwa akili sana...
Usiwape nafasi ya kukuona unashida... Akiomba ela kama sina ntakopa! Sipendi dharau kabisa
hahahaha umenifanya nicheke mkuu kwa sautiii...

Yaani mkuu nikusaidie kitu fanya utavyofanya ila hutomridhisha ...Angalia usije ukaingia madeni tu mkuu..

Ila mie sipotezagi muda kuwaridhisha kwa kila atachokitaka
 
Wengine wanampa mume mshahara wote.

Mmmmmmh hao wanawake wa kumpa mume mshahara wote, duh cjui wako WAP maybe kati ya 10,000 utampata 1 , wanawake wengi ni wachungu sana kutoa hela yao kumpa mwanaume, akikununulia saana maybe atakupa vest, perfume, boxer, tunda au lunch ya cku moja..sasa ndo itokee umsaliti hapo weee mara oh nlimnunuliaga vest, ooh yule nlimtoa dinner... Sky Eclat
 
Brother hapa hawawezi kukupa majibu hata kwa nini! Kwa sababu wao wenyewe hawajui kwa nini.......Ipo damuni tayari.
 
Kwa busara nikizojifunza humu,niliamua kutojihusisha na kipato chake hata shilingi mia,nakomaa mimi kama mimi kuleta mkate mezani,najua nikihoji pesa zake tutagombana tu! Hawa viumbe wa ajabu sana! Huyu wangu aibu hana kabisa,hadi dawa ya meno ananiomba
 
Back
Top Bottom