Hivi kwanini wanasiasa wa chadema sijawahi kusikia wakizungumza kipindi cha dakika 45 itv

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Wadau mara nyingi nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dakika 45 cha itv......ambacho wanasiasa wengi huwa wanaojiwa ila tokea nimeeanza kuangalia wanasiasa wa chadema mbona sioni wakiwa wanaojiwa kwani sifa ya mtu kuzungumza ni ipi maana naonaga ni vyama viwili tuuu......hivi wadau tunaomba mtujuzee
 
Hicho ni kipindi maalum cha propaganda cha vyama tanzu CCM na CUF
 
Ni kwa ajili ya kutetea hitikadi za ccm na wenzake ndo maana chama makini hakiwezi kupewa nafasi!!!!!
 
Back
Top Bottom