Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Unajua nimekua nikitafakari kidogo bila kupata jibu linaloniridhisha.
Hivi ni kwanini tumejiwekea utaratibu na kukubali kwamba tendo la mapenzi baina ya wa wazima wawili, waliokubaliana na hawako katika ndoa ni baya?
Wapi kuna tatizo la mimi kupendana na kuonyeshana ishara ya mapenzi yangu na mabinti wengine kadri navyoweza kupanua upana wa mapenzi yangu?
As long as the people invloved are not married and have thus not taken any vow or promise to be in a monogomous relationship, I think it is immensely unfair and unfounded for to place negative labels on the free lovers of this world.
Haumizwi mtu, halazimishwi mtu, tunaanza kwa furaha, tunatenda kwa furaha zaidi na kumaliza kwa furaha zaidi. Unajua hata ile amri ya usizini katika dini zetu za kikristo na kiislamu ilikua ikimaanaisha usitende tendo hili na mtu aliye oa au olewa.
But there is nothing wrong if the act is between two healthy consenting adults!!
Umeamka salama? Nahisi umepungukiwa