Hivi kwa nini hunithamini!

we katavi una umri gani!! manake hata ukisema miaka mitatu wapo watoto kibao hushuhudia wazazi wao kugombana, sasa we umezaliwa na kukulia jamii gani unauliza swali kam hili!
Umri wangu ni mara mbili ya umri wako. Ktk familia yetu sikuwahi kushuhudia ugomvi kati ya baba na mama....ingawa mikwaruzano ilikuwepo.
 
we katavi una umri gani!! manake hata ukisema miaka mitatu wapo watoto kibao hushuhudia wazazi wao kugombana, sasa we umezaliwa na kukulia jamii gani unauliza swali kam hili!

Kuna couple ina miaka 11 hadi leo, hawajui tusi hawajui shida ... Wao na ni raha tu! Wanabembelezana, kila cku utadhani ndo wanaonana mara ya kwanza. Mtoto wao wa kwanza ana miaka 6, hajui kama kuna kitu kinaitwa 'tabu kati ya baba na mama'. Kipato chao ni cha kawaida tu. Kwa hiyo mapenzi bila magomvi yanawezekana!
 
Hakuna Mpenzi anaepigwa. Ukimpiga tu ujue humpendi...............
 
bacha na MJ ni kweli namaanisha hayo mambo yapo vijijini.

kwa mjini sio staili hiyo,na copy baadhi ya mstari wa nyimbo hiyo.yani kila siku ugomvi wa kuchaniana nguo????? mjini hamna kwenye ndoa za mjini sijaona ila kwa kijijini ni kweli nimeona.



nguo zangu hunichania, bila kosa me kujua.

Nimechoshwa na vituko na vipigo,
majeraha kila siku, mpenzi wako........Hivi kwa nini...........hunithamini......
 
vipi unakitu mdomoni wala naona wasema sivyo kila kitu murwa!!!!
mura mupenzi wako kama humupigi humupendi mura....kure kwetu bunda tuna wachapaga sana....ukimchapa vizuri anaenda kuwa hadisia wenzie mume wake ana mupenda mura....hiro rimura kwenye huo wimbo nimerifagiria sana
 
wajuaje konakali kila mwanadam na imani na roho yake wako wanayoyaweza we usoweza kaa kando usije ukaburuza tuu!!!!
Lakini mengine yanongezwa kama chumvi jamani..... Hivi ukifanyiwa hayo umepata kuchukuwa kioo na kujiangalia wewe, au unazidi tu kumsema mwenzio tena bila hatua yeyote ya kumkalisha.....?
 
Back
Top Bottom