Hivi kwa hii hali Dr Slaa ni kiongozi wa serikali au ni katibu mkuu wa chama cha siasa tu?

Mzee slaa miaka inavyokwenda remind me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. anatembea mikoa CDM inaguvu ili ajipe moyo hayo mapokezi ya Mbeya was one of those kicks.......
Ni mawazo yako, by the way you are free to express your views, taja mkoa ambao wata m reject
 
Hongera wana Mbeya kwa mapokezi makubwa tena bila kushinikizwa wala kivutio cha taaribu,TOT na hata T-shirt.naomba tumpe ushirikiano Rais wetu ambae tulimchagua japo hakutangazwa na NEC,tukiendelea kutoa ushirikiano mtambue ya kuwa ndio tunaimarisha safari ya ukombozi kutoka kwa mkoloni mweusi chini ya CCM-Magamba.
Tushikamane,pamoja,tujenge uwazi,tushirikiane kwa pamoja,tukiunge mkono chama chetu cha CDM kwa dhati na kwa mioyo yetu yote,tuchangie kwa mawazo ya kujenga umoja,kuimarisha chama,tuchangie kwa elimu na ujuzi wetu,tuchangie mawazo kwa umoja wetu wote,lakini pia tujiunge kwa wingi kuwa wanachama hai wa CDM,tuchangie kwa fedha,japo kidogo lakini something is better than nothing,Mungu ibariki Tanzania Mungu mmbariki rais wetu Dr Slaa,Mungu ibariki CDM,Mungu wabariki watanzania wote wanaouchukia ufusadi na unyonyaji wa kila aina unaofanywa na Serikali ya Magamba kuanzia ngazi ya chini kwa watendaji wa mitaa hadi mawziri na mkulu mwenyewe.

Peeeplesssss Poweeer!
 
una umri gani? 1995 Mrema alikuwa na nyomi nchi nzima mpaka lindi na Mtwara,hilo halikumfanya kuwa Rais,2015 kama mna ndoto za kwenda Ikulu itakuwa kupigwa dozi ya kikombe cha juice baada ya kupata gonjwa la kukataa matokeo!!

Mkuu naamini tatizo la mrema hakuna asiyelifahamu ,, ni mtu aliyekubalika sana ila kwakuwa alikuwa ana njaa zaidi ya ziwa victoria alikubali kuhongwa na magamba na wakatumia udhaifu huo wa njaa zake kummaliza, hii ni tofauti na Dr Slaa kuwa ni mtu ambaye ni vigumu kumrubuni, na ingekuwa anahongeka basi angehongeka pindi bado akiwa mbunge, jamaa yuko makini zaidi hadi ccm wametumia kila aina ya njia zao kumtafuta kwa aina yoyote ile ya pesa wakaambulia patupu, sina imani kama hataweza kurubuniwa huko mbele, ila jamaa ni KAUZU ZAIDI YA DAGAA.
 
Hakuna jipya, kwa wale wanaofuatilia siasa za Tanzania, Mrema alikuwa ni zaidi ya Slaa.
Rafiki yangu mmoja amesema hapo juu kuwa kura zilichakachuliwa,hivyo hayo ni mazoezi kwa ajili 2015,kama cha chake kitampitisha kuwa mgombea na kura hazitachakachuliwa.
 
Hakika Rais wetu tunaye ambaye kura wanasema hazikutosha,lazima kieleweke Dr Slaa na timu yako tuko nyuma yenu twawafuatilia kwa karibu sana tumieni fursa hii mliyonayo kukuza chama /wanachama wapya.ninamaanisha wawe na kadi za kupigia kura kisha 2015 yetu mafisadi wakae chonjo,big up CHADEMA
 
Ukiona hivyo wivu utamjaa KIkwete mtasikia kamanda wa polisi mbeya anarudishwa makao Makuu bench....Kama Yule kamanda wa polisi Arusha ...pamoja na busara Yake iliyookoa Arusha kuwa Lindi la damu..hivi sasa yupo bench la nguvu makao Makuu....kazi Yake ni kukaa kwenye kaofisi kadogo..,LASIK kuwa na faili..judoka magazeti ,kunywa chai na ku chat na kukimbizana na mabinti wanaodeki .....sasa afanyeje......kwa walio serikalini wanajuwa maana ya bench......unasubiri mshahara tu....hakuna cha overtime,safari wala semina.....ni frustrations kwa kwenda mbele...

wako wengi wanaoteseka kihivyo, ndani ya serekali na nje ya serekali, wamekuwa wengi kiasi hawadhibitiki tena....naam maji yakiomba njia ni nani atayazuia? ---- tujipe moyo, punde si punde!
 
mnachekesha kweli.asilimia 26 ndio awe rais,acheni kudanganyana.yule slaa aliyepora mke wa mtu hawezi kuwa rais wa nchi hii.
 
Hakika kazi ambayo ameshafanya Dr. Slaa ni kazi kubwa sana kuliko hata kuwa Rais, historia imeshaandikwa na atakumbukwa daima. Uzuri ni kuwa yeye mwenyewe hiyo tamaa ya U rais hana lakini anafarijika kuona maisha ya watu yanakuwa imara. kikubwa amefanikiwa katika kuwatoa usingizini wadanganyika
 
Hakika Rais wetu tunaye ambaye kura wanasema hazikutosha,lazima kieleweke Dr Slaa na timu yako tuko nyuma yenu twawafuatilia kwa karibu sana tumieni fursa hii mliyonayo kukuza chama /wanachama wapya.ninamaanisha wawe na kadi za kupigia kura kisha 2015 yetu mafisadi wakae chonjo,big up CHADEMA

rais wa kanisa katoliki sio rais wa tanzania huyo.
 
Nina imani mimba uliyonayo ndo inakufaya uongee haya..............ukijifungua tu utatuomba radhi. Si unajua mimba inavyoagizaga mambo ya ajabu???

wewe utatukana mimi ntasema kweli.kwanza wewe sio saizi yangu.mi naongea na mama yako na wakubwa zako wengine,we ni mtoto mdogo ukikua utaacha ujinga wako huo.
 
Mzee slaa miaka inavyokwenda remind me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. anatembea mikoa CDM inaguvu ili ajipe moyo hayo mapokezi ya Mbeya was one of those kicks.......

And where will be the other kicks mkuu?

Sungura alipotamani zabibu zilizoko mtini lakini akashindwa kuzipata akaishia kusema sizitaki mbichi hizi.
Ni hadithi ya zamani tukiwa skuli ya primary, naifananisha na maoni yako ya dying old dog.
Mkuu, you're very very wrong. Dr. Slaa is not a dying old dog. Just wait and see, time will tell.

 
Back
Top Bottom