Hivi kuwa banned kuna msaada gani!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Mtu anapigwa ban halafu anafungua ID nyingine, Au kuna watu wana ID kibao.

Mi naona hakuna mana ya kupigana ban..., Tuache watu watoe mapovu yao tu. Hiyo ndio Democrasia. Otherwise zitakuwa ni nidhamu za woga tu. Kuna haja ya kuogopa watu ambao hawaogopeki!!.

Watu wajiachie......, kama mtu kateleza na moderator ameona sio sahihi hiyo post kuwepo, aifute tu, sio kupigana ban.
 
Nafikiria ban ni fundisho ila bahati mbaya kuna watu akili zao zishashindikana.
 
Ban is undemocratic. Adhabu inatakiwa itoe fundisho kwa mkosaji ili ajirekebishe lakini ban haimpi furaha hiyo. Invinsible jengeni utamaduni wa kuwaelimisha wanaJF wanaovuka mipaka bila kuingilia uhuru wa kutoa mawazo yao.
 
ban ziwepo but kuwepo na msamaha pia,me mwenyewe nimepigwa ban.....
 
Mtu anapigwa ban halafu anafungua ID nyingine, Au kuna watu wana ID kibao.

Mi naona hakuna mana ya kupigana ban..., Tuache watu watoe mapovu yao tu. Hiyo ndio Democrasia. Otherwise zitakuwa ni nidhamu za woga tu. Kuna haja ya kuogopa watu ambao hawaogopeki!!.

Watu wajiachie......, kama mtu kateleza na moderator ameona sio sahihi hiyo post kuwepo, aifute tu, sio kupigana ban.

mkuu ban mbaya ni IP ban ila ukipigwa ban ya kawaida unaweza fanya hivyo ila kwa ip ni huwezi access kwenye hiyo PC tena kuhusiana na registration za jf..

ili kuepuka hiyo aza ni bora uache tu matusi utaishi kwa amani kama x pester au katavi...
 
Kweli watafute namna nyingine. Hiyo haisaidii, mi nadhani ndio inawaongezea watu hasira. Cha msingi watu wajiheshimu tu. Kuna taarifa zingine zinakuja humu halafu zinatolewa, sikatai kama chanzo chake labda hakina uhakika, lakini kuwe na namna ya watu kupata hizo taarifa sababu ndio mwanzo wa kuapata taarifa zingine za uhakika kuhusiana na hilo jambo.
 
Nikikuwa nimeshakuwa senior expert member wa JF, modes wamenipiga bann ya milele sasa hivi ni junior.
 
mkuu ban mbaya ni IP ban ila ukipigwa ban ya kawaida unaweza fanya hivyo ila kwa ip ni huwezi access kwenye hiyo PC tena kuhusiana na registration za jf..

ili kuepuka hiyo aza ni bora uache tu matusi utaishi kwa amani kama x pester au katavi...

Na kama mtu unauwezo wa kubadilisha badilisha kompyuta je?
 
Ban inasaidia watu kuwa na displine maana hata katibu mkuu wa Ccm mkama alisema democracy bila nidhamu ni uhuni kwahyo heshima ni muhimu lugha za matusi kashfa si nzuri lazima ule ban
 
Ban haina maana,tena me wakinipiga ban..ndo ntafungua ID nyingine the ntakuwa nunda
 
Back
Top Bottom