babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 334
- 813
Japo mimi ni utopolo lakini hawa ndugu zetu wamezidi umbumbumbu. Hivi hawa viongozi wa simba nani kawaloga? Hivi wanashindwa vipi kuuchagua uwanja wa Chamazi kwa ajili ya mechi zake za nyumban?
Je wana sababu yoyote ya msingi? Hivi timu kuipeleke mkoani kuikodishia hoteli, kuikodishia uwanja wa mazoezi, kusafirisha viongozi na mashabiki, hizi gharama hawaoni km ni kumbebesha mzigo Mo dewj?
Ok njoo sasa kwenye kiwanja wa mechi wenyewe cha Jamhuri ni utopolo mtupu, yani ni mwendo wa butua butua.
Je uongozi wa Simba umeona kabisaa ujiongezee gharama za matumizi kwa ajili ya kwenda kupoteza points huko morogoro?
Nina wasiwasi na hawa viongozi wa Simba inaweza kuwa sio wenzetu hawa