Hivi kumbe kuoa sio lazima

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,071
3,705
Hapo vip!!

Kwawale ambao walikuwa hawafahamu kama mimi,ni hivi kuoa sio lazima.

Hivi hata Mungu wetu hajalazimisha watu waoa ila amekataza uzinzi,uwasherati n.k

Ninachoamini Furaha kubwa katika ulimwengu huu ni ile hali ya kuwa na furaha ambayo haitokani na watu au mtu..independent happiness..mtu huyu anauwezo wa kuishi muda mrefu na asiwe na stress,ugonjwa wa moyo wala pressure. Ila ikiamua kuishi mwenyewe jaribu kumtumikia Mungu utakuwa na furaha isiyokuwa na kifani.

Mimi nimeona niwashauri vijana wenzangu,nimeona wengi wakiumizwa na wanawake kwasababu ya ujinga na ufahamu mdogo sana mpaka kupelekea kupoteza direction na kuharibu maisha yao ya uchumi kwasababu ya wanawake.wengine wamepoteza maisha,wengine wamekuwa watumiaji wa madawa ya kulevya n.k

Ni hivi tafiti zinaonyesha wanaume wenye akili kubwa hawezi kuishi na wanawake..wakina Galileo Galileo,Isack newton,pamoja na matajiri wakubwa wengi hawakuta kuishi na wanawake.Ila wanaume wenye akili za kawaida ndio wanaweza kuishi na wanawake.

Sasa chagua kufa mapema kwasababu ya mwanamke ..ipo hivi ukifanya utafiti katika kaya ishirini ambayo abebaki mzazi mmoja.itakuta kaya 18 wamekufa wanaume wamebaki wanawake,alafu hizi mbili wamebaki wanaume.

Wanaume lengo la kuoa ni kupata watoto,sasa tumia namna yeyote upate watoto cha msingi ujitahidi uchukue watoto wako na uwatuze na kuwapa mahitaji yote kama baba.usikubali kumuachia mwanamke mtoto no,wakifikisha umri fulani chukua watoto wako(Kwa ukivuna mazao huwa unayaacha shambani yaharibike)obvious utapeleka nyumbani.

Ila mimi sioi sioi sioi sioi

Sioi,sioi sioi=Independent happiness.
 
Utakuja kukutana na binti mmoja siku moja ambaye utajiuliza huyu n Malaika au shetani ,utajiuliza tena hivi nilisemaga sioi nikiwa timamu kweliMaisha ndio yalivyo.
 
Back
Top Bottom