HIVI KUCHEAT NI LAZIMA UWE umeDO au.........???

According to me
Ku-cheat ni kutengeneza uhusiano wa nje (wa jinsia tofauti) bila ufahamu au ushiriki wa mwenzako.

Mfano, kutengeneza urafiki na jinsia tofauti bila mwenzako kujua, hata kama ham-do pia ni kucheat. Uki-do ndo tunasema umesaliti uhusiano.

Hapa ktk maelezo haya sijahusisha mashoga na wasagaji.

binafsi nakubaliana na CPU, kuwa na uhusiano wa kuchat au kwenda OUTING na mtu mwingine bila mume/mke au mpenzi kujua kwa kweli ni kucheat, maana hapo lazima ujiulize kwa nini usiwe wazi kuwa una rafiki.. kwa kweli haya nimeyaona... tena unakuta wengine wanajisahau na kuhamishia mawasiliano kwa huyo "rafiki"..... kua uone mambo!!
 
wanajf hivi 2kisema mtu amemcheat mpenzi/mume/mke wake ni lazma awe ame DO na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine au hata kuchat na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine kwa sana,kutoka outings bila kuDO ni kucheat????
We....! To do or to entertain anything on your own willing secretly to your partner, but knowing that he/she dislike it is cheating....! It is not necessarily that you must have done sex out of your relation so that you fulfill to be a cheater....! but, just to entertain it will make you to be among of the cheaters...! Even holding your own bank account without your partner's knowledge is cheating.....! Even hiding your phone's records to your partner is cheating....! And hiding your communication with another person to your partner is cheating....!
 
Back
Top Bottom