ww sio mtanzania
Mkuu nadhani hujamtendea haki muuliza swali hapo juu. Kuna ugumu gani uloupata kumwelewesha mtu juu ya huyu Kilango?
Yeye ni nani mpaka kila mtanzania amjuwe? Kama hukuwa tayari kumwelewesha ungekaa kimya badala ya kumnanga mtu kuwa si Mtanzania. Kwa hiyo mtu yeyote anayemjuwa Kilango ni Mtanzania? Tuweni wastaarabu
i ....ni kweli huyu mama hajafanya chochote cha maana lakini wamuweke nana sasa? mimi ninachopinga hapa ni huku kumshambulia matusi ya nguoni
acha kuudanganya umma.huu ni uongo mkubwa
sio fisadi, acha kubwabwaja
Anna Kilingo ni Mbunge wa ccm na nifisadi kama walivyo mafisadi wenzake ndani ya ccm, mungu amemjaalia ana uwezo wa kupepeta mdomo hata kumzidi mzaramo Sophia Simba, Samwel Sita ndio alimsaidia kumpandisha chati pale walipofanikiwa kuwalaghai watanzani wakizani wanapinga ufisadi kumbe walikuwa wanawakumbusha watawala wasiwasahau wale wote. mpaka leo hajawahi kukanusha tuhuma nzito kwamba walipewa mamilioni na Jeetu Patel kugharamia harusi yao na mzee Malecela. kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko Rostam Azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama.
Huyu Anna Kilango ni opportunistic mkubwa, na siku nyingi alikuwa akitamani kuingia kwenye SIASA kwa kutumia migongo ya wanaume.
Aliwahi kuwa na mapenzi ya kingono na Kitwana Kondo lengo likiwa atumie umaarufu na pesa za Kitwana Kondo kupata ubunge wa UBUNGO. Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha ubunge wa ubungo na Keenja mwaka 2000. Kilango aliongoza karibu vituo vyote 90% wakati wa kura za maoni dhidi ya Keenja. CCM kwa hila kwasababu walikuwa wanamtaka Keenja (Alikuwa mkurugenzi wa Jiji la DSM inaamika alifanya vizuri). CCM wakafuta matokeo ya vituo 10% vilivyokuwa vimebaki na kuitisha kura upya za maoni, na safari ya pili Keenja akamshinda.
Wote mnakumbuka jinsi Keenja alivyomchakachua Mnyika kwenye general election 2005 kwasababu alianza kwenye kura za maoni CCM, notorious mchakachuaji.
Kunona hivyo Kilango akamtafuta kwa udi na uvumba mzee Malechela ili aweze kumsaidia kupata ubunge wa Same Mashariki baada ya kuona Ubungo kumekuwa kuchungu.
Kwa kutumia mwanya wa lonely wa Mzee Malecela baaada ya kufiwa na mke wake (RIP). Kilango akaweza "kumbaka" mzee Malecela. Kwakuwa the ultimate goal ya Kilango ilikuwa sio mzee Malecela bali to enter into politics, akatumia influence ya mzee Malecela na nguvu ya pesa ya Jeet Patel kupata ubunge wa Same Mashariki 2005.
The rest is history, huyo ndiyo Anne Kilango, bado ana shauku kubwa ya kupata uwaziri, lakini kwa hili nina mshukuru JK kutoku mchangua najua ni kwasababu alimuangusha Daniel Yona rafiki ya JK kwenye kinyang'anyilo cha ubunge lakini imetusaidia Watanzania kuondokana na Mama mnafiki mkubwa.
Nasikia ni mpenzi sana wa hadithi za Cleopatra na yeye anaamini sana kwa hilo.

Mme wake wa ndoa alikuwa ni kaka yake mke wa Keenja. Hivyo mke wa Keenja na Kilango ni mawifi. Na hao watoto ni wa hiyo ndoa
Wadao sisi wengine hatumjui kilango
....Anna Kilango Malecela....Jamani yeye akuwai kuwa na mume before kuolewa na Mr Malecela....?