Anao watoto wakubwa ambao aliwapata kabla ya kukutana na Malecela. Sijui hao watoto kama walikuwa wa ndoa au vipi.
Mme wake wa ndoa alikuwa ni kaka yake mke wa Keenja. Hivyo mke wa Keenja na Kilango ni mawifi. Na hao watoto ni wa hiyo ndoa
Anao watoto wakubwa ambao aliwapata kabla ya kukutana na Malecela. Sijui hao watoto kama walikuwa wa ndoa au vipi.
Wewe *****?Kilango ni mdogo wake Mlango!Wadao sisi wengine hatumjui kilango
anna kilingo ni mbunge wa ccm na nifisadi kama walivyo mafisadi wenzake ndani ya ccm, mungu amemjaalia ana uwezo wa kupepeta mdomo hata kumzidi mzaramo sophia simba, samwel sita ndio alimsaidia kumpandisha chati pale walipofanikiwa kuwalaghai watanzani wakizani wanapinga ufisadi kumbe walikuwa wanawakumbusha watawala wasiwasahau wale wote. Mpaka leo hajawahi kukanusha tuhuma nzito kwamba walipewa mamilioni na jeetu patel kugharamia harusi yao na mzee malecela. Kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko rostam azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama.
....anna kilango malecela....jamani yeye akuwai kuwa na mume before kuolewa na mr malecela....?
PUMBA!!!!!!! SHIRIKISHA AKILI/UBONGO WAKO NA MIKONO YAKO WAKATI WA KUANDIKAUkishindwa kupata data zake jaribu za equivqlent wake kama Asha baraka, Khadija Kopa au Sofia simba
Blah blah. huna uhakika na huwezi kuthibitisha, hence huu nu udakuMkuu umesahau!! Target yake hapa ilikuwa ni mwanamke wa kwanza (first lady) hadi akamdanganya mzee JSM aamue kujiita dume la mbegu, bulldozer na maneno kibao!!
look at this great thinker !!ha ha ha ha !! try kuupa ushirikiano ubongo wako wakati wa kuandika hapaRealy gold diger halafu mshambenga yani kama leo Tundu lissu anasema akili zao zinakutu hajakosea
where wedare to talk openly...haitakiwi uwe na phd kujua kuwa hii pointlessWewe *****?Kilango ni mdogo wake Mlango!
say it again na akiendelea atakuja kupakatwaUnataka kujua kilango wewe ???? Ni mke wa mtu shida yako yakumjui ni lipi ???? Ni mbunge wa same period. Acha kufuata fuata mke wa mtu. Kumjua enda bungeni.
huna uhakika na unachokinenaNI mama wa mipasho na mwalimu mzuri wa kitchen party na masaidizi wake ni sofi Lion
JF haiishi kunishangaza,huyu naye kaiba nini? wabunge wemngi wa ccm wana lala tu bungeni .hujawaona?no data no right to say ."kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko Rostam Azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama".
Na kweli mkuu Saigon.
Ukome kusema uongo wewe, Mnyika aliuza jimbo la Ubungo hata mwenyewe anajua, au unataka tumwage data?......... Wote mnakumbuka jinsi Keenja alivyomchakachua Mnyika kwenye general election 2005.......
kilango ni mbunge wa same mashariki ambaye kwa upande ni fisadi na kwa upande ni mwanasiasa safi.[/QUOTE]
hapo kwenye red toa, mimi msambaa lakini naishi kwa wapare ndungu jimbo analotokea huyu kumama.