Hivi jimbo la Ukonga kuna mbunge na madiwani kweli?

Mimi nimeshawagundua mnalitaka hilo jimbo [color=redubovu barabara ni swala la dsm nzima hivi mmekwenda posta , kariakoo barabara ya uhuru haipitiki[/color]. Mbona hiyo mama tunamwana kwenye magszeti, bungeni, kwny mikutano ninyi mnakaa wapi au ni like kabila lisiloongozwa na wanachama ua mnalo lenu jambo. Nakuambia mama huyu ni Mchapa kazi na lazima tutamrudisha. Acheni unafiki na mjiandaa kama mnalitaka jambo let u hatukupi

...kwenye nyekundu "ni sawa nakusema kuwa ukiona kichaa akula mavi na wewe utayala"

...maeneo uliyoyataja yako tofauti na barabara za Jimbo la Ukonga zinazolalamikiwa...,

Kwanza huyu mbunge wa Ukonga hawezi hata kusimamia (mawazo elekezi) kwa mirada ambayo ipo kwenye Jimbo lake la Ukonga, kwa mfano kutoka Ukonga Mombasa kuelekea Moshi Bar kuna kipande cha rami kama kilometa moja kimejengwa mwaka jana, kwa sasa hicho kipande cha barabara ya rami kimeanza kuwa na mashimo, pia mifereji imejaa matope, sehemu nyingine hiyo rami imefunikwa na michanga mpaka rami haionekani...

Pili: kuna machinjio ya Mazizini ni machafu kupita kiasi, wakati mvua njia ya kuingia kwenye machinjio inajaa matope ya kinyesi, wakati huo majitaka yametwama kwenye eneo la machinjio na barabara/njia zinazozunguka eneo hilo!


Tatu: Miradi ya uzoaji taka wameifilisi yeye Mbunge na watendaji wake, "mabehewa taka yalioyonunuliwa kwa pesa ya TASAF wameyatelekeza..., sasa wametafuta watu binafsi wa kuzoa taka...

Nne: Miradi ya maji ya visima wameihujumu, na kutafuna fedha za miradi....
n.k
 
Waungwana, nimeishi Ukonga kitambo, sikujua kama tuna Mbunge, Loh kumbe yupo?

Kuna jambo lanikera, yaan tunatabia ya kusahau haya matatizo yetu pale kipind cha Uchaguz kinapofika.. nawaona Vijana kwa Makund tafaut wakijikusanya, kisha huitwa kwa Mgombea Usiku, wanapewa Pesa wagawane kisha kumpigia kampen Mgombea Huyo.

Tunasahau kabisa Mgombea Mwenye sifa stahil hawez toa rushwa ILi apate Uongoz, maana anaefanya hvyo hufanya Investment, afu kisha, akipata Madaraka anaanza Ku reap Super Normal Profit kwa kula Pesa Zzote za mirad ya Jimbo.

We cause all ths bullshit, sisi wananch, kwa Kuendekeza njaa, elfu kumi uliyokula, sasa unaitumikia miaka Mitano? Mateso ya Maj, Usafiri, mazingira machafu, hospital huduma dun kisa tuu, ulikuwa Ile Rushwa ya Elfu kumi?

Tubadilike Jaman, tuache kuyawaza Matumbo yetu. Maana mwisho wa siku n hasara. Nauli kwa siku 5000? Hujala? Hujaacha Pesa ndani, bado Nauli ya Mtoto, Ada, bado rejesho la Mkopo, eti kuna Pesa kila mwezi ya kuzoa uchafu majumban, Farmigation. Mungu wangu, kwa Mshahara Gani? Kwa Kipato Kipi?

Hili Jimbo kama Vipi tulikodishe kwa Muwekezaji basi, maana Mbunge, Diwani, Hatunaaaa.
 
Mama mwaiposa wewe chapa kazi tupo pamoja. Tunakujua na tunakuona achana na hawa wasio na macho ya kuona chochote.
 
kwa shida hizi ulizoziainisha hapa ni dhahiri kwamba UKONGA hakuna viongozi , CC - MOLEMO .
 
Mama mwaiposa wewe chapa kazi tupo pamoja. Tunakujua na tunakuona achana na hawa wasio na macho ya kuona chochote.

mjomba huu si uzi wa kwanza kuelezea dhiki za UKONGA , ina maana wote waliotuletea ni waongo ?
 
Mkuu wewe unazungumzia barabara za Nyangandu,Nyantila na Moshi bar?!!!wewe angalia barabara inayoitwa barabara ya uhuru ndo utajua serikali yako iko kwenye njozi bado.
 
Kusema kweli mama aliyeko kwa sasa anapigania sana hilo Jimbo tena kwa Nguvu sana, nafikiri na yeye akifunguka mtaona namna ambavyo amefanya makubwa.

Msemeni pia kwa mazuri mengi aliyoyafanya ktk jimbo la Ukongo wana JF
wewe si unajua mazuri aliyoyafanya?hebu yataje hapa wakati tunamsubiri Mwaiposa aje atutajie aliyoyafanya.
 
huo mjina wako "Eti Lusungo" kwa ki kwetu maana yake Chizi na akili zako kama za hiyo picha uliyoweka hapo.

You are too low

Akili zenu zimefungamanishwa na mawazo ya michepuko tuu mpaka ukaamua kujiita hivyo..

Uzao wa vigodoro
 
Back
Top Bottom