Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

Kama chadema wanaitaka kweli nchi hii basi waache ukristo na uchaga
kiwe ni chama cha demokrasia ya kweli..
 
Wale magamba waliokutuma upost huo upuuzi wenu kawaambie kuwa sisi khatukopeshi tunakuanika na kukusurubisha live kwamba wajinga wajinga vilaza kama wewe unayejiita Free World hamna lolote hamna jipya na Sisiemu yenu,kilichobaki ni nyinyi kujiaandaa kuwa chama cha Upinzani SISIEMU na Mpenzi wake KAFUU ndoa yenu itadumu milele kama wote mkiwa vyama vya upinzani. Kawaambie akina Nepi na vilanza wenzio kuwa tuko macho na makini tofauti na mnavyotudhania, hapa ni Titi fo Tat, Nyambafu mmezoea kuiba kura na kuwadanganya maskini wa Tanzania, mkwaka 2015 itakuwa ndo mwisho wenu, washeku nyie mmezoea vya kunyongea gizani,2015 tutawachinjia baharini hakyamungu tunaapa na lazima 2015 Raisi wa nchi awe mkristo mkatholiki.

Sisi tunapata mengi sana hapa JF yanayohusu CDM na mikakati yenu kama Wakristo. Failures ndio Dira yenu, kiko wapi CCW, CCK na sasa CDM mwelekeo ndio huo huo.
Labda kwa kukusaidia kuanzia sasa Washauri hao Ma Moderators/Admin waanze ku filter Dini zetu vinginevyo muwe mnakutana Kanisani ili kuficha uozo wenu!

short sighted. Tofautisha jukwaa huru (Jf) na Chama cha siasa (CDM).

Mshukuru sana Mungu wako kwa kukufanya wewe kuwa Long sighted!
Sisi tunapata mengi sana hapa JF yanayohusu CDM na mikakati yenu kama Wakristo. Failures ndio Dira yenu, kiko wapi CCW, CCK na sasa CDM mwelekeo ndio huo huo.
Labda kwa kukusaidia kuanzia sasa Washauri hao Ma Admin waanze ku filter Dini zetu vinginevyo muwe mnakutana Kanisani ili kuficha uozo wenu!
 
Nahisi kutakua hakuna tena haja ya kua na kipengele cha siasa jf coz kutakua hakuna mada za kujadili as inaonekana most of wachangiaj ni migambo!
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?
mimi ninachokiona hakuna jipia la maana la kutegemewa.hawa viongozi wa chadema leo ndo wametoka hukohuko ccm,kadhalika wametokana na jamii hii hii ya watanzania walio wengi ambao wanapigania maslahi zaidi ya kitu kingine chochote.halafu hawa jamaa wenyewe wana tabia ya kulaumu kila kitu kinachofanywa na chama kingine .tabia ya kulaumu wenzako kwa kila wanachokifanya kana kwamba wewe ndo mkamiilifu pekee na peke yako tu ni tabia ya kinafiki na dalili ya kwamba lawama zinazotolewa leo kwa serikali ya ccm huenda zikazidi kwa serikali ya chadema.mimi naona njia pekee ya kuinusuru hii nchi ni watanzania kwa ujumla wetu bila kujali vyama tukawa waadilifu,tukatambua wapi tunatakiwa kwenda na kisha kuanza mwendo.
 
Mshukuru sana Mungu wako kwa kukufanya wewe kuwa Long sighted!
Sisi tunapata mengi sana hapa JF yanayohusu CDM na mikakati yenu kama Wakristo. Failures ndio Dira yenu, kiko wapi CCW, CCK na sasa CDM mwelekeo ndio huo huo.
Labda kwa kukusaidia kuanzia sasa Washauri hao Ma Admin waanze ku filter Dini zetu vinginevyo muwe mnakutana Kanisani ili kuficha uozo wenu!

THANK U..!!
WHAT MORE CAN U SAY??
UMEMALIZA KILA KITU..
:peace:
:peace:
 
Duuuuuu!!!!!!!!!!! post zingine unatafuta kichwa wala miguu hata huioni, bora mtu ujisepee coz zinaboooooooaaaaaa
 
mimi ninachokiona hakuna jipia la maana la kutegemewa.hawa viongozi wa chadema leo ndo wametoka hukohuko ccm,kadhalika wametokana na jamii hii hii ya watanzania walio wengi ambao wanapigania maslahi zaidi ya kitu kingine chochote.halafu hawa jamaa wenyewe wana tabia ya kulaumu kila kitu kinachofanywa na chama kingine .tabia ya kulaumu wenzako kwa kila wanachokifanya kana kwamba wewe ndo mkamiilifu pekee na peke yako tu ni tabia ya kinafiki na dalili ya kwamba lawama zinazotolewa leo kwa serikali ya ccm huenda zikazidi kwa serikali ya chadema.mimi naona njia pekee ya kuinusuru hii nchi ni watanzania kwa ujumla wetu bila kujali vyama tukawa waadilifu,tukatambua wapi tunatakiwa kwenda na kisha kuanza mwendo.
Inatia moyo kwamba bado wapo watu wenye akili kama zako hapaa TZ na JF hasahasa. Infact CHADEMA wanapigania kunyang'anya ulaji 'wengine' ili wapewe 'wao'!
Kumbuka Nyerere alivyosema juu ya hawa 'wao'! Wanamtukuza Nyerere kwenye kila kitu lakini juu ya hili hawasemi!
Hawa jamaa ni hatari, tunawaona maofisini na munawasikia wenyewe humu JF! kufikiria kuwa watakuwa tofauti wakiingia madarakani ni uwendawazimu!
 
umeona eheeh?
Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na ukristo mtupu. Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa jamaa.

mtuuu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia ukabila udini ambao umeletwa na utawala wa sasa jaribu kuja na hoja angalia utashindwa kulea watoto wako siasa ni mchezo mchafu
 
kuandika kwenyewe hujui nashukuru kwa kuonyesha uwezo wako wa mwishoo kufikiri (jipia) ndio nini?
 
umeona eheeh?
Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na
ukristo mtupu. Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa jamaa.

Jamani ni lini mtabadilika na hili swala la udini, e mungu naomba umpatie huyu ndugu utambuzi aache hii tabia na akiendelea nayo ahukumiwe akiwa hapa hapa duniani
 
Unapolinganisha na hali ilivyo sasa, ni bora chama chochote kichukue maana hakuna cha kupoteza. Kwa maoni yangu chadema is a most ideal party
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

Ndugu yangu wewe huifahamu JF. Hapa hakuna mwana Chadema. Nakuhakikishia Chadema wakichukua nchi wataanza kukosolewa on the spot na ndio utakaposhangaa watu wote wakiwa upande wa ccm hapa. JF watu hawakichukii chama wala ccm wanachukia uzembe na wizi. Wewe angalia tu kiongozi wa chadema akivurundu anapewa makavu hapa hapa.
JF haina chama
 
Inapendeza kwamba wafisadi wana hofu na CDM, hali ilivyo sasa ya watoto wa vigogo kufurika kwenye NEC ya chama kikubwa inapaswa itupe hofu kwa maana vyeti vyao ni vya mashaka, akili zao zimefinywa na madawa na kiburi cha utajiri wa baba zao kimefuta historia ya Tanzania ndani ya vichwa vyao, mie hujiuliza itakuwaje hao wakichukua uongozi wa Nchi.
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

very rubbish thread indeed! Haina mashiko hata kidogo...mawazo fnyu kabisa...
 
kama mnajua mnahitaji kusamehewa anzeni kutubu lakini msitake chadema ije kuwaomba mtubu wakati watenda dhambi ni nyie kila mtu atakapokutwa ndivyo atakavyohukumiwa na chadema ukikutwa uliiba usitegemee pongezi toka chadema
 
Back
Top Bottom