Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

Mke(C.U.F) ataomba talaka kwa Mume(C.C.M) kwa kukosa hela ya matumizi.
 
Hvi wanao changia humu wote ni cdm?
Nakushauri uende ukamsalimie Nape!

Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?
 
Kitakuwa ndio chama chako tawala. Hapo huna ujanja itabidi uhamie huko Chadema.
 
EEH JAMANI HALI HII HATUONANI,JE TUNGEONANA??
HALI HII HAMJACHUKUA NCHI JEE MKICHUKUA??
HALI HII NI SIASA JE NINGEKUCHUKULIA UBAVU WAKO WA MAISHA??
POLE POLE,KIDOGO KIDOGO NDUGU
JAZBA NA KIBURI SIO UUNGWANA,,
HATA MBOWE NA SLAA HAWAPO IVO
:bump2::bump2::puke::sorry:

Hii ndiyo akili yenu inavyowatuma, kila anayeikosoa Serikali ni mfuasi wa CHADEMA..
- Jifunze kuchambua mambo
-Jifunze kujadili
- and above all jifunze kuandika...otherwise endelea kuficha ujinga wako...i diacuss issues and nto people.
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

hivi kuna wakati ambao kuna udini na ukanda kama awamu hii ya JK? nyie mnasema kila siku eti cdm ni chama cha kidini na ukanda...angalia ccm sasa hivi uone jinsi JK ambavyo ameshaweka udini na ukabila kwenye serikali yake na maamuzi yake mengi ayafanyayo...
 
Hvi wanao changia humu wote ni cdm?
Nakushauri uende ukamsalimie Nape!

Mkuu, Hicho ndiyo ninachoshindwa kuelewa...yaani yeyote anayechangia akiikosoa(kuisahihisha Serikali) eti ni CHADEMA? Afterall kuna ubaya wakiwa CHADEMA??
Hawa wapuuzi wawe wanafikirisha na akili zao.
 
mkuu, hicho ndiyo ninachoshindwa kuelewa...yaani yeyote anayechangia akiikosoa(kuisahihisha serikali) eti ni chadema? Afterall kuna ubaya wakiwa chadema??
Hawa wapuuzi wawe wanafikirisha na akili zao.

tatzo lako una jazba sana...!!
Sasa kinachokufanya ukatae kua wewe sio pro-chadema ni nin??
 
Watu wanaogopa sana siku hiyo kufika. Itafika tu na kwamba itakuwaje mtajua wakati itakapofika.
 
kama wananchi watakipa fursa basi watakuwa wameona kinafaa. labda ungeuliza Chadema wangeipindua serikali na kushika dola je, hali ingekuwaje? swali zuri zaidi ni sababu zipi zitawafanya wananchi waamue kukipa utawala chadema?

CHADEMA ikuchukua nchi, tanzania itapiga hatua za maendeleo kwa muda mfupi, kutakuwepo nidhamu ya rasilimali za umma! Uppuzi wa CCM itakuwa mwisho!
 
tatzo lako una jazba sana...!!
Sasa kinachokufanya ukatae kua wewe sio pro-chadema ni nin??

Unasikia bibie,..Umekuja juzi hapa Jamvini, one thing you should know hapa tunaongea kwa ushahidi/vivid evidence..so if you dont again nakushauri, ficha UPUMBAVU wako!

and am not short tempered, i just have quick reaction to bullshit!
 
wallahi nchi hii itakuwa roman, wasiokuwa wakiristo watakoma, bora tu tubaki na ccm.
 
Chadema kuchukua utawala wa nchi ni Nooooooo jiulize mko wangapi!!!wenye ndoto za vitoto vichanga

sikutegemea kukujibu but-WEWE NI INFANT.ANY PART CAN LEAD THE COUNTRY.UNAJUA KATIBA YAKO?MNATAKA KATIBA MPYA WAKATI HAMJUI YA ZAMANI.WEWE CONSERVATIVE 4 A LOSS.KAA KIMYA KAMA UKO EMPTY MINDED.CLEAR?
 
unasikia bibie,..umekuja juzi hapa jamvini, one thing you should know hapa tunaongea kwa ushahidi/vivid evidence..so if you dont again nakushauri, ficha upumbavu wako!

And am not short tempered, i just have quick reaction to bullshit!

pia sahau cdm kuchukua nchi hii
maana inaonesha una interest flan
so forget about it..
Fanya kitu kingine
take this piece of an advice..
 
Wewe hata hujitambui kama huoni ufisadi wote huu bado una imani na ccm lazima wewe mwenyewe uko ccm au ndugu zako wanategemea mkate wao kutoka ccm.pole sana.
 
pia sahau cdm kuchukua nchi hii
maana inaonesha una interest flan
so forget about it..
Fanya kitu kingine
take this piece of an advice..

Nimekwambia lete hoja, sijadili majungu ndugu yangu...usitafute post quote nyingi hapa..when you have bring it out,you dont jifunze toka kwa wakongwe.
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

For the sake of objectivity.
Hali ya leo unaijua vema. Now Flip the coin.
Chadema isipochukua nchi 2015 itakuwaje?
 
wallahi nchi hii itakuwa roman, wasiokuwa wakiristo watakoma, bora tu tubaki na ccm.

acheni udini u foolish tanzania.mkuki kwa kiti moto tu vipi kwako?mbona nchi hii kwa sasa iliyoshindwa kujitambua, ni arabic sisi tunawashangaa tu na sera zenu za udini zinazo watafuna nyie wenyewe?na bado huwenda tusifike '15 coz hatuna mwelekeo labda jeshi na sio uozo wenu wa sasa.kumbuka wako tusiokuwa na chama ila tunata mwelekeo wa tz.upo?amka
 
Ufisadi wa chama chako cha mapinduzi utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Na CCM itakuwa imekufa kifo cha moja kwa moja. Naamini umeridhika na jibu langu.
 
Senior Member Array

Join Date : 5th November 2007

Posts : 216

Rep Power : 603

Likes Received22
Likes Given4

nilitegemea tofauti na hicho ulichoandika hapo juu mkuu.
Ulikuwa unajidanganya tu, huyo aliwahi kumiliki Modem mapema thats it, hakuna kitu kichwani ni matope matupu.
 
Back
Top Bottom