Hivi ipo siku kweli na sisi tutakuwa nayo hii radar-VORONEZH RADAR

Sasa Tanzania ina maadui Gani wa Sisi mpk tuwe nayo.. Huwezi ukawa na Panya Ndani ukanunua mgobole wa kuua tembo uulie Hao panya...

Urusi na America wana ushindani fulani hivi.. so tuwaachie wao ss tutatamani tu km kuangalia Movie vile
 
mkuu inakuwaje ndege zinapotea hata hii radar isione kama le ya Malaysia

RADAR huwekwa kwenye open space au hill tops na kurotate taaratibu ili iweze kuona object kutoka target yoyote, lakini radar nyingi zinazofanya kazi sasa hivi haziwezi detect kwa low altitudes sababu physical features, natural na man-made, zinareflect signal za radar.
Ndio maana kabla ya kugundulika kwa stealth technology military pilots walikuwa wanaeza rusha fighter/bomber ili kukwepa kuonekana katika radar ya adui. Wanarusha ndege vita zao katika low altitudes, sasa ndege inapotea na kushindwa kuonekana tena na radar inaeza kuwa imeanguka chini msituni, baharini nk. ambako radar visibility haifiki huko.
Technolojia bado inakua nafikiri itakuja kupatikana countermeasure ya hii kitu.
 
Back
Top Bottom