Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,137
- 33,485
affordable kama kweli ndio itakuwa beiinasemekan bei ya sasa ni 600 bilioni tsh.
au unapiga chai hapa mkuu
affordable kama kweli ndio itakuwa beiinasemekan bei ya sasa ni 600 bilioni tsh.
ahahhaahahhahNatoa rai huyu aliyepiga picha hayo mavyuma ya watu akamatwe na kuchunguzwa na wananchi
Hahahahahaaaa we jamaa umenichekesha sanaNatoa rai huyu aliyepiga picha hayo mavyuma ya watu akamatwe na kuchunguzwa asije akatuletea matatizo sisi
Dah!, hivi mkuu unamaana hakuna nchi nyingine duniani ina lada kama hii? hebu funguka kidogo.inasemekan bei ya sasa ni 600 bilioni tsh.
hakuna mkuu na pia haijulikani inakuja lini radar kama hii dunianiDah!, hivi mkuu unamaana hakuna nchi nyingine duniani ina lada kama hii? hebu funguka kidogo.
Naona utakua hufahamu hiki kifaa cha Israel, kwanza chenyewe ni portable, halafu wacha hizo ndoto za alinacha kutegemea sisi kufikia huko.
mkuu umetok usingizin nin maan unafananish ukubw kati ya sungura na tembo.iyo ultra c22 ni saw tu na ile rada yetu wala haijapishan kitu.range yake ni 500 km sasa uwoni kam inabakw,wakati mashine ya urusi inafika 10,000 km
FixNi vigumu kuamini kuwa kitu kama hiki kipo duniani lakini ndo ukweli wenyewe kuwa warusi si watu wa kawaida hata kidogo, muda mwingine unaweza ukasema awa jamaa ni wachawi maana vitu wanavyovitengeneza ni ngumu sana kutengenezewa sehemu nyingine duniani.
Voronezh radar ni radar ambayo kwa sasa aina mpinzani dunia nzima kutokana na ufanyaji kazi wake.
Country of origin -Russia
Introduced -2009
Number built -4 operational in 2012, others planned
Type- Phased array Early-warning
radar
Frequency Voronezh-M: 150–200 MHz
( VHF)
Voronezh-DM: 0.1 m wavelength
( UHF) [1]
Range Up to 10,000 km [2]
Power Claimed 0.7 MW consumption [3]
[4]
Other Names 77YA6.
Yaani ina uwezo wa kuona kutoka Urusi hadi Tanzania. Inamaana kama tukiwa nayo tuna uwezo wa kuona Ulaya nzima pamoja na mabara mengine, urefu wa hii radar ni sawa na jengo la ghorofa 15. Tukiwa na kitu kama hiki lazima ujivunie.
Ujenzi wake umekamilishwa, hii sio issue ya mipango.kam ni plan hat sie jeshi letu lina plan nying tu
iyo video na maelezo yako ni toka 2015 lakin hadi leo kimya,na pia iyo extended radar kw akiri yako inawez ikazidi 2000kmUjenzi wake umekamilishwa, hii sio issue ya mipango.
maana iyo extended radar ilifanyika kweny MPQ-53 ilikuwa range yake 117 km walivyofany extended ikasoma 216 km.yan hata mara2 haikuzidUjenzi wake umekamilishwa, hii sio issue ya mipango.