Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 11,513
- 36,912
🙌🙌🙌🙌🙌🙌Naomba nikae kimya tuWe umezaliwa mwaka gani? 2005?
🙌🙌🙌🙌🙌🙌Naomba nikae kimya tuWe umezaliwa mwaka gani? 2005?
Kwasasa ma DSO hupanga Dili na wakuu wa idara wote including DED Kufisadi pesa za miradi mbalimbali ,unadhani kutakuwa na jipya hapo?🤣🤣🤣🤣🪑Mi najiuliza tuu hadi huu ubadhilifu unafanyika ngazi ya halimashauri wao ofisi ya DSO huwa ipo busy na majukumu gani?
Usalama wa TZ ni ki-idara kidogo chini ya ofisi ya Rais, kwaajili ya yeye kumsaidia mambo Yake tu.Asante Kwa kufafanua hili. Wabongo wengi hawawaelwi Hawa watu ndio maana wanaoana kama super heroes flani hivi ambao wapo Kwa ajili ya kuwasave wao na nchi.
Pesa zote za zinazotoka serikali kuu, kwenye malipo lazima wawepo kuanzia DC na watu wake (Kamati ya ulinzi na usalama, akiwemo huyo DSO), halafu DED then DT (Mweka hazina) baadaye Kuna watu wa mipango na Wakuu wa Idara, hasa Mkuu wa Idara ambaye mradi unamhusu.Kwasasa ma DSO hapanga Dili na wakuu wa idara wote including DED Kufisadi pesa za miradi mbalimbali ,unadhani kutakuwa na jipya hapo?🤣🤣🤣🤣🪑
Wabongo wengi ni WAVIVU, Wana TAMAA halafu ni WABINAFSI.Nadhani ni kwa sababu Watanzania tumekuwa na mentality ya kuamini kuwa Usalama wa Taifa ni Malaika wanaojua kila kitu,kiasi kwamba cho chote ambacho hakipendezi kikitokea katika Taifa letu tunaamini ni uzembe wao.
Usalama wanakusanya taarifa gani?Usalama wa Taifa wanahusika na Kila Jambo linaloendelea kwenye nchi, lakini kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa, kuchakata na kupeleka taarifa. Wa kulaumiwa ni wale wanaopelekewa taarifa kutochukua taarifa.
Source ya madai yako ni nini? Hisia zako tu au?Usalama wa Taifa wanahusika na Kila Jambo linaloendelea kwenye nchi, lakini kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa, kuchakata na kupeleka taarifa. Wa kulaumiwa ni wale wanaopelekewa taarifa kutochukua taarifa.
Nikupe mfano mdogo tu Ila usiniulize nimeutoa wapi.Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.
Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.
Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa.
Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua, lawama zinaenda kwa usalama wa taifa!
Timu za mpira za Tanzania zisipofanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa, lawama kwa usalama wa taifa!
Ni mimi tu ambaye sielewi dhima nzima ya usalama wa taifa au inakuwaje?
Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?
Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi.
Kama wateja/ wanunuzi wanaona bidhaa fulani ni bora kuliko bidhaa ingine, basi wataendelea kuiunga mkono kwa kuinunua.
Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa.
Ubora wa bidhaa unatokana na ubunifu wa mzalishaji. Mzalishaji anapotengeneza bidhaa iliyo bora halafu akaitangaza kwa umma, umma huo ndo utaamua mafanikio ya hiyo bidhaa.
Sasa kama makampuni ya Tanzania hayatengenezi bidhaa zilizo bora kutokana na kushindwa kuwa wabunifu, lawama kwa usalama wa taifa zinahusikaje?
Hmm…..yawezekana ni mimi tu na hizi akili zangu za panzi ndo maana labda sielewi.
Wajuvi na wajuzi wa mambo nijuzeni, tafadhali.
Sabuni zetu za komoa zikowapi ,mafuta ya korieUsalama wa taifa katika uchumi.
Watu wako inapaswa wawe salama kiuchumi. Ukiona kuna bidhaa inatoka nje ni bora kuliko ya kwenu mnatakiwa mfanye namna mjifunze mbinu na technology yao ili wananchi went wawazidi wale wa nje
Usalama ktk mpira.
Kama viongozi wa mpira wanapanga kikosi cha taifa kibwegebwege na kuna watanzania wazuri ndani na nje ya nchi
Sio razima TISS wawepo ndani ya ofice yako, hata wakiwa huko nje, hao TBS, na TFDA wanaanzia huko unakosambaza kuuza.Sawa Bwana Junya mwenzangu,mimi nafanya Biashara ya Cosmetics,wambie TIC wafanye updatio masuala ya Cosmetics and foods yapo TBS na masuala ya Drugs and medical devices yapo TFDA.
Sasa tulejee mada yetu;umo TBS na TFDA,TISS wamo kama wote kuanzia Maabara mpaka kwenye masuala management.
Mashirika yote ambayo yanadili na masuala nyeti kama Afya ya Mtanzania TISS wapo Mkuu.
Ulizungumzia nyanya,kama zinatoka nje ya nchi pia jicho la TISS lipo na kama zinazalishwa nchini basi Madawa yote yanayotumika kwenye Kilimo husika ni lazima yathibitishwe.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ndivyo ilivyo. Magufuli alipoingia madarakani alifululiza kwenda bandarini unafikiri hizo taarifa hazikuwepo kwenye utawala uliopita.Source ya madai yako ni nini? Hisia zako tu au?
Unaakili sana mkuu..maana umejibu kwa kuelimisha kwa njia ya beza kwamba , wao ndio watunga sera.Sasa naanza kuelewa kwa nini Tanzania ni banana Republic!
Ni kwa sababu ya ujinga kama huu.
Kudhani kuwa usalama wa taifa ndo watengeneza sera za kiuchumi.
Kudhani kuwa usalama wa taifa ni wataalamu wa uchumi na maendeleo!
Hapa tulipo kiuchumi si bahati mbaya wala si ajali.
Ni matokeo ya kutojua cha kufanya.
Unafikiri Magufuli taarifa za ukwepaji Kodi bandarini alizitoa wapi.Usalama wanakusanya taarifa gani?
Sana sana labda hizo wanazopelekewa na wananchi au watendaji wa kata na vijiji.
Hakuna taarifa zozote za maana
Upepo wa PesaKuna mmoja humu kaulalamikia usalama wa taifa kwa uwepo wa sabuni ya jamaa. Duh! Kama ni hivyo basi usalama wa taifa labda utakuwa unahusika na bidhaa kama nyanya na vitunguu huko masokoni. Hata mimi pia sijui mukhtadha wa usalama wa taifa shughuli zao zinaanzia na kuishia wapi zaidi ya stori za vijiweni kuwa usalama wa taifa wapo kila idara
Taarifa gani?Unafikiri Magufuli taarifa za ukwepaji Kodi bandarini alizitoa wapi.
Hoja no usalama wa Taifa, hayo ya mengine anzisha hoja take.Taarifa gani?
Kwanza UPIGAJI nchi hii una baraka zote za juu.
Unapompa mtu cheo kwa fadhila maana yake umempa nafasi ya KULA KEKI kwa wakati huo.