Hivi huko Dar wanakaa wanaume wa aina gani?

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Nimekaa nimefikiria sana kwamba eti vitoto vidogo vimewalaza watu saa 12 nikajiuliza hivi huko Dar hakuna wanaume kweli mjini mzima unalazwa saa 12 na vitoto visivyozidi mia,
tena mnarudi kujifungia ndani na wake zenu eti kisa vitoto vya Panya Road.
 
Alafu ww umekimbia milembe ww nyoo mtu anamguu wa kuku via mkanda wa jeshi alafu ujisogezee subutu hao polisi wanaogopa ukajisogeze raia
 
Kumekuwa na jambo la ajabu sana humu ndani la kuitana au kutambulishana kama wanaume wa Dar, hebu bila kuchanganya mada na mada nyingine (please Mods) naomba tupate uelewa wa hao watu.
Kwa uelewa wangu mimi na kuhusu shutuma wanazorushiwa kuwa hawawezi kwenda round zaid ya moja, ni waoga, wengi wanamiliki mali za kurithi, wengi wameathiriwa na chips mayai. Naomba kuulizia haya yafuatayo au kueleza yafuatayo
  1. ili kuweza kujua uwezo wa mtu ku-perfrom niu lazima either huyo mtu awe amekushirikisha kwa namna yoyote ile iwayo, umelala nae, ni ndugu yako au wewe ni daktari kwahio unajua mapungufu ya huyo mtu
  2. uwe una ushahidi wa kutosha tena uwe umefanya utafiti wa kutosha kufikia hitimisho hilo, na tafiti nzuri ni zile zenye supporting data gunuine
  3. Dar karibia asilimi 75 au zaidi ni wageni, je hao wanaume wa Dar ni hawa wageni au ni wale Migrants?
  4. Tunaposema hawajui mapenzi, tunarejelea kitu gani hasa?
  5. Tunapodai kuwa wengi wanamiliki mali za kurithi, tunataka kuuaminisha nini ulimwengu wa Tanzania? kwamba wazazi ambao wako nje ya Dar hawana kitu cha kuwaachia watoto wao?
No, nadhani hizi mada nyingine tujifunze kuwaheshimu wengine. Vinginevyo tunalea matabaka yasiyo ya msingi.
 
Ni wanaume waishio Dar.
Mbona tafsiri rahisi tu! Usichoelewa nini? Au unatakaje?
 
Hahahhahahaaaa ungejibu basing kwenye hizo highlights zangu hapo ingekua poa sana. ok thanks

Hakuna cha basing wala chochote hapa! Tafsiri ndo hiyo niliyokupa hayo mengine mbwembwe za kutaka malumbano yasiyo na tija.
 
Ndugu zetu akina Mura ndio hasa wameleta huu utani wa wanaume wa Dar. Je hao ndugu zao wa Kitunda wamo katika orodha ya wanaume wa Dar?

Watu wa Kitunda ndio wafugaji maarufu wa kuku wa nyama na mayai. Tuseme wao wanauza tu hawali kuku hao na mayai, vitu vinavyosemekana kuathiri wanaume wa Dar.
 
Eti wanaume wa dar kuandamana kwa kudharauliwa. Tehetehetehe Wanaume wa dar wanaanza kujibu mapigo.
Kwa kifupi wanaume wa Dar ni .
Wanaume wote waishio Dar wasiojitambua katika mchango wa taifa hili pamoja na hao uliowazungumzia hapo kuwa

"hawawezi kwenda round zaidi ya moja, ni waoga, wengi wanamiliki mali za kurithi, wengi wameathiriwa na chips mayai."

Kwa kifupi wanaume wa dar ni wale wote wanaogopa hata panya na wanapigwa na wake zao
 
Kumekuwa na jambo la ajabu sana humu ndani la kuitana au kutambulishana kama wanaume wa Dar, hebu bila kuchanganya mada na mada nyingine (please Mods) naomba tupate uelewa wa hao watu.
Kwa uelewa wangu mimi na kuhusu shutuma wanazorushiwa kuwa hawawezi kwenda round zaid ya moja, ni waoga, wengi wanamiliki mali za kurithi, wengi wameathiriwa na chips mayai. Naomba kuulizia haya yafuatayo au kueleza yafuatayo
  1. ili kuweza kujua uwezo wa mtu ku-perfrom niu lazima either huyo mtu awe amekushirikisha kwa namna yoyote ile iwayo, umelala nae, ni ndugu yako au wewe ni daktari kwahio unajua mapungufu ya huyo mtu
  2. uwe una ushahidi wa kutosha tena uwe umefanya utafiti wa kutosha kufikia hitimisho hilo, na tafiti nzuri ni zile zenye supporting data gunuine
  3. Dar karibia asilimi 75 au zaidi ni wageni, je hao wanaume wa Dar ni hawa wageni au ni wale Migrants?
  4. Tunaposema hawajui mapenzi, tunarejelea kitu gani hasa?
  5. Tunapodai kuwa wengi wanamiliki mali za kurithi, tunataka kuuaminisha nini ulimwengu wa Tanzania? kwamba wazazi ambao wako nje ya Dar hawana kitu cha kuwaachia watoto wao?
No, nadhani hizi mada nyingine tujifunze kuwaheshimu wengine. Vinginevyo tunalea matabaka yasiyo ya msingi.

Nyongeza tu ni kuwa wengi wanamiliki mali za wizi wa kalamu,utapeli na ujanja ujanja! wao wanaita "dili!"Kwa hiyo maisha yao ni ya wasiwasi kila wakati na sioni ajabu kuwa kama wanaogopa panya, mabadiliko yatawatisha zaidi!Ndio maana wao na ccm tu(huku kwetu wanawake makahaba ndo wanaipigia ccm)Wanaenda gym kwa ajili ya kuvutia wadada lakini akitokea hata teja mmoja anakimbiza mibaba yote hata kama iko 30!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Uvivu wa kufikiri, mimi naishi Dsm namiliki nyumba Mbezi Beach na Kibamba pamoja na kutembelea juu ya sponji. Mzazi wangu alikuwa ni mtumishi wa Umma enzi zile za uadilifu na kajumba kake kamoja kama ulimi Tanga mjini, unataka kuniambia nini?
Kuhusu show yangu unataka kufahamu?
 
Nimekaa nimefikiria sana kwamba eti vitoto vidogo vimewalaza watu saa 12 nikajiuliza hivi huko Dar hakuna wanaume kweli mjini mzima unalazwa saa 12 na vitoto visivyozidi mia,
tena mnarudi kujifungia ndani na wake zenu eti kisa vitoto vya Panya Road.

Dar kunawazee tu 😅
 
Unawaza kiQumaQuma Qummammae zako kila uwazapo uquma kama huu.

Hii taarab ndiyo fani yenu kuu!Unaambiwa ukweli na ndume,unaanza kutaja maumbile ya siri na heshima ambayo bila shaka hata mama yako mzazi anayo!Tuseme unadhani wewe pia hukuzaliwa bali ulinunuliwa Nakumat super market?Kamuulize mzazi wako safari yako ya kuingia duniani iliania wapi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hao hao mnao wasema, ndo wanaoendesha uchumi wa hii nchi kwa 80%, ndio wanao miliki vitegauchumi vikubwa tanzania, wakija watu wa musoma watatufugia kuku, watatulinda kwenyeakampuni ya ulinzi au tutawapeleka jeshini kwaajiri ya kulinda nchi. Hao hao mnao wasema hawaendi round nyingi ndo mlikuwa mkilalamika kiwa wake zenu wakija Dar lazima tuwafunue, pia mnaposema wanaume waishio Dar % kubwa ya viongozi wenu mnalalamika hawakai majimboni kwenu wanakuja kuishi Dar. Hu ni mji ambao watu wanaishi kwa kutumia akiri, ndo maana huwezi kupata beki tatu hapa au walizi, wote wanatoka mikoani. Nyinyi mmekimbilia mikoani kwakuwa Dar imewashinda na hamna namna ya kuja kucompete kwa life hapa mnaishia kutunda mada za ajabu ajabu, ni wivu tu unawazingua. Kwana kuna mtu analazimishwa kula chips hapa? Hamjalazimishwa kukaa huko ni njaa zenu tu, acha kaz huko,njoo upambane town co unalalamika, nyamafu
 
Back
Top Bottom