Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
Hivi na wee kumbe umeionaee!!
Mbona ko wazi tu ndugu yangu!
Hivi na wee kumbe umeionaee!!
unajua kazi za mwanasheria? Marando sio askofu, au shehe useme anakula sadaka yako, jifunze kuelewa kazi ya mtu.Ndio unafiki wenyewe huo kwani unatakaje, hukujua kwamba Marando ana uchu mkubwa sana wa pesa. hapo yeye atakuja na kauli mbiu yake oooh mimi ni mwanasheria, ooooh mimi namtete amanji ili nijue siri za mafisadi wakati yeye mwenyewe ni fisadi.
Wandugu napenda kueleweshwa Mh. Mabere Marando ni mtu aliye mstari wa mbele katika kupiga vita ufisadi na mafisadi akiwa na joho la CDM. Lakini wakati huo huo anakuwa wakili wa Manji (mtuhumiwa wa ufisadi) ili kupinga kumuhusisha yeye Manji na ufisadi. Je hapa hamna conflict of interests? au sio unafiki kabisa?
Ubunge ni kazi. Alitakiwa aache uwakili hadi akiacha ubunge sababu kuna conflict of interest. Kesho na keshokutwa akiwa ni wakili wa Caspian Construction Company tutasemaje?:coffee:Ndugu hiii ni ndio Tz na wanasiasa wake,kumbuka mabele marando ni mwanasheria so yupo pale kikazi kwani asipo fanya hivyo familia yake yaweza kufanjaaaaaa
nadhani tumwache afanye kazi aliyosomea tusimwingilie
msemakweli hapendwiiii daimaaaaaaopcorn:
Duh ! Kweli wewe VUVUZELA !Mkuu hapa kuna conflict of interest. Kumtetea fisadi papa kama mbunge wa chama ambacho kinalenga kuutokomeza ufisadi. Marando alitakiwa aache ku-practice law wakati akiwa MP hadi hapo atakapotoka bungeni. Hio ndio inaleta pia conflict of interest kwa wale MP wafanyabiashara wakubwa. Ni aibu hata Chadema hawajaliona hili wala kusema chochote. Otherwise basi CDM/Marando are just a bunch of hypocrites...unless they fix this mess:coffee:
VUVUZELA tena, jamani JF tumeingiliwa ! Kwanza hivi Marando ni Mbunge kutoka chama gani na amewezaje kuwa Mbunge bila kuchaguliwa au ni Mbunge wa viti maalum ? Pili je,kuna watu wana hati miliki ya kula hela za Manji, mfadhili mkuu na mwenyekiti wa wadhamini wa klabu ya Yanga ?Ubunge ni kazi. Alitakiwa aache uwakili hadi akiacha ubunge sababu kuna conflict of interest. Kesho na keshokutwa akiwa ni wakili wa Caspian Construction Company tutasemaje?:coffee:
Wandugu napenda kueleweshwa Mh. Mabere Marando ni mtu aliye mstari wa mbele katika kupiga vita ufisadi na mafisadi akiwa na joho la CDM. Lakini wakati huo huo anakuwa wakili wa Manji (mtuhumiwa wa ufisadi) ili kupinga kumuhusisha yeye Manji na ufisadi. Je hapa hamna conflict of interests? au sio unafiki kabisa?
Me ndo maana naamini ukimuondoa baba wa taifa na sokoine,nazan sijaona mwanasiasa mwingine mwenye dhamila ya dhati kutuhudumia wananchi..
Me sina chama ila chadema naipenda sera zake,ila hili la marando kumtetea manji napingana nalo maana hata rostam is innocent till proven guilty kwenye shutuma zake za ufisani, kwa mnao mtetea marando unasemaje ukisikia anamtete rostam ktk kesi zake maana ajawa provem guilty?
Jmm tuache ushabiki wa kijinga ukweli usemwe tu kua huyu mzee morally anafanya kosa,ingawa professionally hana kosa lolote.
Nyerere alisema kiongozi wetu akisema anachukia rushwa tusiishie kusikia tu hayo maneno inabidi tukimuangalia tuone kweli anachukia rushwa,sasa we marando akisema anachukia ufisadi na akawa anamtetea manji unaweza kusema kweli anachukia ufisadi?? Siasa za TZ hopeless kbs
Nimeipenda hiyo yenye RED , nadhan tuipiganie iingizwe kwenye katiba mpya, ili RA akose pa kuchezea watu akili kutumia makaratasi.kwani mengi sio fisadi??mengi ana personal vendetta na wafanyabiashara wenzake lakini na yeye ni fisadi tu...after all a person is innocent until proven guilty,.that is a general rule,..exception ni RA
Mkuu,
Hapa kuna shida kubwa, kama mimi sipendi ushoga siwezi kuwa wakili wa kutetea mtu anamshitake mwenzake kwa kumwita shoga! Hata kama ni kazi yangu kutetea watu watendewe haki, nikifanya hivyo nitakuwa napingana na dhamira yangu ya kupinga ushoga na wala sitaweza kumtetea ipasavyo kwa sababu nafsi yangu inataka nimzomee huyo shoga ili aache ushoga sasa nitawezaje kumtetea asizomewe??
Marando anatuzuga huyu wala siyo jemedari wa kupinga ufisadi. Mbona sijawahi kumsikia Lisu akiwa wakili wa hao mafisadi?
mkuu...nimekutumia e-mail