Hivi hii ni sawa???

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Hi! Mamboz..." naishi ktk nyumba ya kupanga, kuna jirani yangu anaishi na mke wake chumba kinachofuata, kosa ni cku wanapofanya mapenzi yani majirani wote hata usingizi hatupati ni kilio cha utamu kutoka kwa mwanamke na miguno na kidume chake, mwanamke analia kama kapigwa kumbe yupo kwenye malovery, majirani zangu walitaka wamwambie yule dada awe anapunguza kelele me nikawazui sasa jana ucku imetokea tena, je aambiwe?
 
Pole sana! Nashauri na wewe vuta(chukua mke), ili chumba cha pili ikianza miguno na kelele nawewe unamwambia mwenzio nanyi mnaanza shughuli, wakizidisha kelele na mnazidisha hadi kieleweke teh teh teh teh....................
 
Pole sana kwa yote.
Sikushauri uvute mwanamke kwa ajili ya kulipiza kisasi, utakuwa hauna tofauti na hao wanaopiga kelele na kukosa ustaarabu.
Kaeni nao kwa utaraibu na muwaeleze ni jinsi gani wanakosa ustaarabu kwenu nyinyi na hasa kwa watoto wadogo.
Wasiposikia, basi wafikisheni kwa mjumbe wa nyumba kumi na yeye atajua la kufanya.
wakikataa kabisa, na juhudi zote za kistaarabu zikishindikana, basi mwambieni mwenye NYUMBA AWATUPIE MIZIGO WAKAPANGE NYUMBA YENYE CEILING BOARD
 
hahaha!mjini kuna kazi!huku shamba jirani anakaa 2kms away,hata wauane hakuna rabsha!
 
Hahahahahhahahhahha
dahhh umenichekesha kweli
eti KOSA NI PALE...daaahh mbona sijaona kosa jamani..
 
hizi nyumba za kupanga vituko huwa haviishi, kama sio mama mwenye nyumba basi wapangaji.....
 
kwakweli mambo haya yapo sana..! na kulitatua hili jambo yataka moyo na huenda likachelewa sana na sababu kuu ni kwamba...mwanamke aliyezoea kupiga kelele kwa utamu siku zote atakua anapiga, mnaweza hata mkaenda wakati wakifanya mkagonga mlango wakatulia kwa sekunde kadhaa lakini baada ya dakika mbili tatu mambo yakaanza..tena kama jamaa ni mtaalamu ndio kabisaaaaaa!
Chakufanya may be ni kuwashauri wapunguze, ongea nao just friendly na pia kuwashauri labda wawashe redio au Tv ipunguze kidogo zile sauti!
 
Jamani, nyumba yenu hiyo hakuna watoto? manyumba ya kupanga nayo yana mambo
 
Tehe tehe tehe, wanawake wengine wanapiga kelele utadhani wanakabwa, kumbe ni raha zao wenyewe! wanawake tuna mambo sisi!
 
Mi nahic mkuu upo single kama ndivyo usiumize kichwa we poromoka tu na sound ya maana, speaker inch 18 base 2 mid 2 sogeza baton ya volume hadi kati kisha kalale Guest asubuhi lazima uwakute mlangoni aisee aaaagh!! yaani nyumba za kupanga utadhani watu wake wanatoka sayari nyingine aisee.
 
Mi nashangaa sana inakuwaje unascream mpaka chumba kingine wanakusikia? basi ingekuwa patashika humo majumbani, au ndio mama weeeeee aiiiiii aishhhhhh, sipendi.....si unaweza ukawa unasiklizia kwa sauti ya chini?
 
Simple,mwenye nyumba awape likizo ya LAZIMA no ku do kwa masaa 72 na iambatane na notice ya kuhama ndani ya siku 3 kwa manufaa ya umma(watoto na wapangaji wenine na majirani wanaokesha kusikiliza mziki wao)
 
Miaka mingi kidogo, pale Musoma mtaa wa Mkendo Kati kulikuwa na nyumba ikimilikiwa na mwana mama mpenda ngono. Alikuwa anaishi kwenye chumba kimoja, wapangaji vyumba vingine. Miaka hiyo ilikuwa ni kawaida kabisa nyumba kutokuwa na dari. Ukifika usiku akiingiza mshefa hakulaliki, ni kelele tupu. Wapangaji walikuwa hawakai miezi miwili ukizingatia kuwa ulipaji wa kodi ilikuwa ni kila mwezi.
 
Katika uzi kitu nilichoona tu ni kua mtu na wife (si hawara) wanakula raha mpaka majirani wanadata... keep it up wanandoa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom