Hivi hii ni fashion kwa wadada?

sa mkuu,we ulitaka nitongoze wa aina gan?

Senetor... unapokua na nia ya kumtongoza mwanamke... Kitu cha kwanza
kabisa kwa mwanaume yeyeyote (baada ya kumtamani) ni kua nitampata??
Ilo jibu ndiio hupelekea confidence in men kua atongoze mwanamke ama lah!
akiona kabisa kua hata akimtongoza hatafanikiwa.... anakula kwa macho na
kupotezea... hio hupelekea weengi wa wanaume kuenda kwa wadada wenye
attributes za kuto jitambua - then kumtongoza.... akikua kabisa atampata...
na kweli - atampata.... sasa huwezi toa findings kwa kutumia hiki kigezo....
 
akisema ana mpenz anakupa nafasi zaid wewe kwa vile akisema hana mpz anahisi utaona hafai
 
Senator hiyo ni mbinu mojawapo wanaitumia ili kufahamu kama 1.utakata tamaa mapema, 2.kweli unamhitaji, 3.kukujulisha kuwa soko lake liko juu, 4.uko tayari kulipigania penzi lake hata ikibidi kumnyang'anya mtu, 5.kujuwa msimamo wako -ikiwa uko tayari kupora mtu pia utakuwa tayari kuporwa hapo baadae.
Nimeipenda hii mkubwa
 
Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama hana,afu after somedayz ndio anakukubalia ombi lako,hivi hii nayo huwa ni fashion kwa dada ze2 wajamen?
Mkuu wakati mwingine dada zetu hupima ni kiasi gani cha userious mtongozaji huwa. So usipokua makini utaambulia manyoya (hutampata ng'o), so kua serious mkubwa!
 
Senator hiyo ni mbinu mojawapo wanaitumia ili kufahamu kama 1.utakata tamaa mapema, 2.kweli unamhitaji, 3.kukujulisha kuwa soko lake liko juu, 4.uko tayari kulipigania penzi lake hata ikibidi kumnyang'anya mtu, 5.kujuwa msimamo wako -ikiwa uko tayari kupora mtu pia utakuwa tayari kuporwa hapo baadae.

Sawa kabisa nakubaliana na wewe, sababu hata kama hana lazima alete zengwe, lakini muda fulani ukipita bila kumtafuta atajifanya anakupigia cmu kutaka kukusalimu.
 
sijaelewa...

Sasa akishasema ana mtu (na kiukweli hana) inasaidia nn? Maana mtongozaji si atajiondokea baada ya kuambiwa hapo hakuna nafasi?

Hivi kwa nn uendelee kutongoza ulipoambiwa pana mwenyewe? Ukitumaini atamwacha yule na akukubali wewe?
 
Wakuu inategemea unajua wengine huwa 2nauliza ukiambiwa yupo m2 huwa tunasepa ili kuepusha mzozo na ngumi za ajabu. but akijilengesha baada ya hapo huwa kwamimi ni chapa ilale najua yakuzugia na sio yakuwekea maanani najua kunajambo anataka huenda hapewi yakumtosha so anatafuta pakutoshelezwa2. so namimi nazikamua kikweli akinogewa najua wanarudi2. then natafuta wakupanganae maisha. minibora aniweke kizani anipe2 saundi ooh subiri. kidogo itaniingia kumpenda kiukweli
 
Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama hana,afu after somedayz ndio anakukubalia ombi lako,hivi hii nayo huwa ni fashion kwa dada ze2 wajamen?

Hiyo huwa ni danganya toto ili uamini kwamba utakachopewa ni kwa kuonewa huruma tu siyo kwamba hana mwingine. Vile vile angependa kujua msimamo wako kama unakula kona mapema au la! Mwisho angependa kujua kama unaweza kushirikiana na wengine kwa kula kile kile kwa ku-share maana hatabaki na wewe tu ili hata ukimfumania akukumbushe: Si nilikwambia nina mpenzi!
 
we dont have to give in so easily coz you will dump us so easily.

Pili tunapenda kuonyesha kuwa, sio wewe wa kwanza kuona kuwa mimi nina stahili kupendwa kuna mwingine alishanipenda hata kama hayupo.

Tatu ni kwamba Labda niliye naye kwasasa hayupo serrious sana na nimekua namvumilia nikisubiri kama kuna mwingine atakuja on the way, ulipokuja wewe nilisita kwanza ili nione how serious you are. will you continue chasing after me?

Nne inaweza ikawa ni issue ya ndoo na kidumu. yaani ninaweza kuwa naye lakini nikiona wewe umekuja vizuri zaidi kisha nikamdump.

Halafu niseme tu kwamba ni vigumu kwa msichana mrembo wa 20 and over awe hana Boyfriend.

think I cannot exhaust the list of reasons.

vivian ulichosema hapo juu ni kweli kabisa ukiwa mwepesi kuchukulika ujue utakuwa mwepesi kuachika vile vile baada ya matumizi ! lakini my dear si kila aneonekana na mvulana kama boyfriend ukadhani karidhika, ukweli kuna umri ukifika unatakiwa kuwa na boyfriend ambaye anauelekeo wa kuwa na serious relationshiip ambayo inaweza kupelekea ndoa, na si hawa viruka njia vya kudandia na kuachia
 
Mie woote walio nambia kuwa wana wa2 wao niliwaambia 2we na urafiki wa kawaida, lkn baadaye walitegemea kuwa ningerudi kutongoza kutokana na jinsi tulivokuwa 2naintarakti. Binafsi ukinambia una m2 nalichukulia serious so hutaniona nikikusumbua tena, pia wapo wengine ambao wako straiti kuwa ni single, haitaji m2 au ntakwambia nipe muda. Sion sbb ya kukomaa, aliye single na asiye wote hawana alama chukua majibu walokupa kuwa walimaanisha kama alizuga imekula kwake.
 
Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama hana,afu after somedayz ndio anakukubalia ombi lako,hivi hii nayo huwa ni fashion kwa dada ze2 wajamen?
Wanataka kuonekana nao wako ktk Demand, hivyo sio ajabu hata wewe uliyemtokea ukawa mmoja wao kati ya watu wanao mtokea kila siku.
 
Back
Top Bottom