James St. Patrick
Senior Member
- Jun 23, 2011
- 162
- 62
Juzi nilienda katika moja ya compus za St. Augustine University of Tanzania (SAUT) na kukuta undergraduate wanafanya registration ambapo kabla ya registration inatakiwa kwa mwenye mkopo alipe 743,000/= na ambaye hana alipe 943,000! Sasa hapa inakuja inshu kwamba hivi huyu mwenye mkopo hiyo hela ataitoa wapi na kuna sababu gani ya kuomba au kua na mkopo kwake na registration wameanza tar 12 na inasemekana mwisho ni j3, hivi hapa bodi ya mikopo haina cha kufanya kusaidia hawa iliowapa mkopo angalau wawahi kwani muda ukizidi wanataka faini ya laki 1!