KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Nimesikia jamaa akimuhadithia mwenzake jinsi alivyompata demu wakaenda naye baa wakarudi hostel jamaa wakala together!!Nikasikia kinyaa mademu mpaka wanatongoza kuna tena kula together??
Zamani mnaitana kwa hajili ya shughuli hiyo nademu akijua hakuna noma!!Lakini kwa dunia ya sasa na maradhi yote hapana!:redfaces:
Zamani mnaitana kwa hajili ya shughuli hiyo nademu akijua hakuna noma!!Lakini kwa dunia ya sasa na maradhi yote hapana!:redfaces: