Hivi hakuna kabisa uwezekano wa chadema kutengeneza kambi moja ya upinzani??

raybse

Senior Member
Oct 22, 2010
104
14
Kwa kweli ningependa sana kuona CHADEMA wanamaliza tofauti zao na hivi vyama vingine na mwisho kutengeneza kambi moja yenye nguvu ya kupambana na hawa CCM ila bila kucompromise malengo sahii ya kambi ya upinzani Bungeni.

Utengano huu ni kama unaipa advantage CCM!!

Kwa hiyo jamani if posibo viongozi wa Chadema embu lifanyieni kazi hili haraka iwezekanavvyo!!
 
Kwani umeongelea chadema tuu ndio wafanye efforts? Vipi na hivyo vyama vingine vya upinzani?
 
Yap wote wafanye efforts za kufanikisha hili jambo........ni muhimu sana kufanikisha hili jambo kutoka pande zote mbili!! We are running out of time!!
 
Nadhani CUF ndo chama kinachofuatiwa kuwa kwa CDM kwa ukubwa, Shida yao wamejiunga na CCM ndo maana inakuwa taabu sana kwa CDM kuwatambua na kuungana nao> hilo liko wazi kabisa.
 
CUF si chama cha upinzani...ni wakala wa CCM wa kudumaza Demokrasia...wao ndio wamevunja upinzani....hii kambi isiyo rasmi binafsi siioni ya maana kwa kua walistahili kuonesha ushirikiano tokea mwanzo...but anyway siasa ndivyo ilivyo!
 
Kwa kweli ningependa sana kuona CHADEMA wanamaliza tofauti zao na hivi vyama vingine na mwisho kutengeneza kambi moja yenye nguvu ya kupambana na hawa CCM ila bila kucompromise malengo sahii ya kambi ya upinzani Bungeni.

Utengano huu ni kama unaipa advantage CCM!!

Kwa hiyo jamani if posibo viongozi wa Chadema embu lifanyieni kazi hili haraka iwezekanavvyo!!
Hiyo haiwezekani mkuu, vyama vingine vyote chichiemu ilishavinunua, hebu angalia ndoa ya CUF na chichiemu unafikiri CUF wataweza kweli kuwa huru kuikosoa serikali wakati viongozi wote wa juu kasoro mwenyekiti tu wako kwenye serikali, haya njoo kwa baba lyatonga walewale, nccr mwenyekiti wake ndio kabisaa ana damu ya kijani.... hao wengine walobaki ndo walijiunga na chichiemu wakati wa kampeni wakiomba raia wampe kura mgombea wake.... hapo ni kupigana kiume tu mpaka kieleweke!!!:nono:
 
Kwa kweli ningependa sana kuona CHADEMA wanamaliza tofauti zao na hivi vyama vingine na mwisho kutengeneza kambi moja yenye nguvu ya kupambana na hawa CCM ila bila kucompromise malengo sahii ya kambi ya upinzani Bungeni.

Utengano huu ni kama unaipa advantage CCM!!

Kwa hiyo jamani if posibo viongozi wa Chadema embu lifanyieni kazi hili haraka iwezekanavvyo!!

Nguvu ya CHADEMA inatosha kupambana na ccm. maana hata wakiungana na idadi haifiki na hata nusu ya ccm.
 
Sawa wanaforum!! CHADEMA NENDA WAKAWATHIBITISHIE WATANZANIA KWAMBA HIYO KAZI UNAIWEZA BILA HAWA VIBARAKA WENGINE.......ALL THE BEST CHADEMA!!
 
Back
Top Bottom