vilaza tu!
hiv ndo kuna mmoja wao alifariki au nimekosea
wee weee weee.....tema mate chini! Usije kumponza huyo jamaa yako aisee....watu walioshirikishwa na hilo jina isivyo walikufa ghafla! Unamkumbuka mfalme herode?Jay z si superstar, Jayz is the God MC, he is a demi God.. damn