Hivi fakat ya BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS ni MARKETABLE?

usimuone mtu yuko bot ukaanza kumuogopa wengine ni volunteers pale,usifiki ajira siku hizi mpaka u-apply mdogo wangu,kuna style ya KAMLETE nadhani bado hayajakukuta.
kwenye maofisi makubwa wengi ni kamlete,huko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom