Hivi fakat ya BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS ni MARKETABLE?

Sep 22, 2011
33
2
Jaman naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati,
1.ajira zake zinapatikana?(ikiwezekana na mifano)
2.inahusika na nini?(unaajiriwa kwenye secta gani? Ni hayo tu wadau.
 
Jaman naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati,
1.ajira zake zinapatikana?(ikiwezekana na mifano)
2.inahusika na nini?(unaajiriwa kwenye secta gani? Ni hayo tu wadau.

kasome halafu ukimaliza hiyo digri fanya masters halafu urudi jamvini kutoa ushuhuda..
 
Andika faculty,na hiyo siyo faculty ni course,kwngne utakuja kuambiwa na wenyewe wa mambo hayo
NI kweli kabisa ajifunze kwanza kuandika! Na ni kweli kabisa hiyo ni Course ndani ya faculty ya sayansi za Jamii na sehemu nyingine ipo kwenye bussiness. Kama amechaguliwa akasome kwanza hata akigundua haina ajira atafanyaje? By the way soma kwa lengo la kujiajiri kuliko kusubiri kuajiriwa
 
we soma kwanza ndio ujue cha kufanya hakuna ajira siku hizi zaidi ya kujiajiri mwenyewe
 
Kitu chochote kile ambacho ni "uchumi" related ni Marketable... Kikubwa kakaze mzuli utoke na GPA iloenda shule uki-inourish na vi course vya muhimu vya hapa na pale... Zingatia kua hakuna mahala na sector muhimu kama shule, afya, Umeme, maofisi hawahitaji mtu alosomea mambo yanayoendana na uchumi...
 
Ebana wadau nashukuru kwa mawazo yenu, vilevile nashukuru kwa wale walionikosoa but "msichana wa kiafrika akijichubua haimaanishi anaukimbia uafrika!" Lengo langu lilikuwa ni kufikisha shida yangu kwenu so naomba msijaji njia nliyotumia! Nnachoshukuru mmenielewa na nimeweza kupata msaada, ndo mana nasema nashukuru!!
 
Graduates weng wa hyo coz ninao wafahamu mim wanaishiaga kuwa walimu wa uchumi A-level.
 
Graduates weng wa hyo coz ninao wafahamu mim wanaishiaga kuwa walimu wa uchumi A-level.
Ninaowafahamu mimi ambao nilihitimu nao hapo Mlimani wanabadilisha kazi nzuri kadri wanavyopenda wako Hazina, Ikulu, Tamisemi, Makamu wa Rais, Wizara mbalimbali, Taasisi binafsi, Bank tena BOT na kwingineko labda hao wako ni vilaza i.e GPA hazisomi na mbumbumbu kwenye interview
 
usimuone mtu yuko bot ukaanza kumuogopa wengine ni volunteers pale,usifiki ajira siku hizi mpaka u-apply mdogo wangu,kuna style ya KAMLETE nadhani bado hayajakukuta.
 
usimuone mtu yuko bot ukaanza kumuogopa wengine ni volunteers pale,usifiki ajira siku hizi mpaka u-apply mdogo wangu,kuna style ya KAMLETE nadhani bado hayajakukuta.
Yaelekea unawaogopa sana wanaofanya BOT!
 
Market yake zio nzuri hiyo, hasa kwenye Bachelors level. Hii haimaanishi kuwa hauwezi kupata kazi nzuri ila Degree hiyo haina uzito sana.
 
Dogo unaonekana form one(first year) hata orientation week ulikimbia,inaandikwa faculty,halafu waulize wenzako tofauti ya faculty na course,hyo ngoma inalipa unaweza kuwa hata mwalimu
 
Market yake zio nzuri hiyo, hasa kwenye Bachelors level. Hii haimaanishi kuwa hauwezi kupata kazi nzuri ila Degree hiyo haina uzito sana.
Usichokijua bora usikiongee..
Kwahiyo unamshauri akasome sociology, PSPA au Education?
 
Yaelekea unawaogopa sana wanaofanya BOT!

huyu nae katokea wapi? Sasa unadhani sababu ya mimi kuwaogopa wa bot ni nini? Huo ulikua ni mfano tu ila organization zote sana sana za serikali kama huna mtu pale wewe kalia bench halafu buni mbinu zingine za uzalishaji,Maana katika maisha sio kila alietoka ametoka kwa njia ya kuajiriwa,Namaanisha kuna njia kama ujasiliamari itumieni hii wadogo zangu tena na taaluma yako ya uchumi itakuwa vizuri zaidi maana mnafundishwa jinsi ya ku-utilize resources na where to allocate them,sasa kwanini uende kupigia watu magoti kuomba kazi?
 
Usichokijua bora usikiongee..
Kwahiyo unamshauri akasome sociology, PSPA au Education?

Hajauliza yote hayo, kauliza kama Bachelors ya Eco ina market, jibu langu ni hapana.
 
Soma ili ujiajiri.... Ajira za kutafuta ziko wapi? Soma ili u-create more employment opportunities........
 
Hajauliza yote hayo, kauliza kama Bachelors ya Eco ina market, jibu langu ni hapana.
Itakuwa siyo makertable kutokana na ukilaza wako. Ukiwa na GPA nzuri na confidence kwenye interview huwezi kukosa kazi kwenye institution yoyote regardless umesoma nini.
Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufanya bank, na tulikuwa tunaajiri watu mpaka wenye degree za kilimo!
Usimkatishe dogo tamaa, cha muhimu asome kwanza, hayo ya ajira yatakuja baadaye.
 
Back
Top Bottom